Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwani wewe unaridhika na rais wetu wa sasa? Hata marekani kuna wengi hawampendi Trump lakini mambo yanakwenda.
Mwenye macho haambiwa tazama. Rwanda na Burundi zilikuwa zinakaribiana sana kimaendeleo. Jee hivi sasa unaweza kuzifananisha?
Mimi binafsi ni muumini wa demokrasia lakini siyo demokrasia ya kimagharibi. Kimila nchi za kiafrika hazina haja ya kufundishwa demokrasia za wale ambao miaka hamsini iliyopita walituona kama ngedere na walipolazimika kutuacha ndipo hapo walipomwaga sumu ya kuweka vikaragozi wao na pale walipoona kuna manufaa kwao walitengeneza mizengwe iliyoleta maafa makubwa afrika.
Asilimia 90 ya migogoro yote ya afrika imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hao waumini wakubwa wa demokrasia.

Rwanda ilistahili kabisa kuwa na aina rais kama Kagame. Vita yake kubwa ilikuwa kwa vijana kufyekelea mbali uhutu na utusi na kuleta uzalendo. Kutokana na uchanga wa demokrasia nchini humo kuna wakubwa wengi hawapendi hali ya hivi sasa. Ile conduit ya kupitisha madini upande wa mashariki imezibwa. Hivyo choko choko lazima ziwepo.
njia ya kupitisha madini upande wa mashariki imezibwa na nani na kwanini?
 
Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi

Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?

Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana

Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..

Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda

Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini

Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri

Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )

Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..

Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu

Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,

Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,

Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!

KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,

Acheni chuki za kipuuzi

Kwa lugha hii tunajua kabisa wewe sio wa hapa....umetumwa na watu wako
 
Safi Sana mkuu, wee una mawazo Kama yangu , kiukweli hata Mimi namuheshimu Sana kagàme,

Nachukia Sana watu wanavyomutukana Sana humu jf kana kwamba hakuna anachokifanya ,

Nkurunziza na Burundi yake Hari yake ni mbaya lakin sijawahi kuona humu wakimuponda ,

Nimegundua watu hawamupendi kwasababu ya maendeleo anayopiga
kwa hichi kiswahil we co mtz
 
Hiyo genocide hakuifanya yeye , waliifanya FDLR yaàni mainterahamwe , hivi inaingia akikini yeye aue kabira lake Kweli ??

Hào Ni wafaransa na wabelgiji wanamchafua tu[/QQUOTE
ni vema ikathibitike mahakamani
 
Wee mhamiaji tu, Wala huwezi kwepa, Mana unamtetea kwa juhudi zote.
Kia's jwanba Kila anayesoma uzi huu anakuona walewale tu.
 
Kagame ana madhaifu mabaya sana yafuatayo

1. Ni Mkabila sana, bado ana elementi za kujiona Mesiah wa Watutsi kuliko anavyojiona kuwa Raisi wa Rwanda iliyoungana ambayo Mhutu na Mtutsi kuwa na haki sawa ndiyo maana hataki kusikia kuwa kulikuwa na Wahutu Innocent kabisa waliouawa na Watutsi!

2. Kagame anaamini Wahutu ndiyo walioua Watutsi na kwamba Watutsi ni innocent in every sense, ndiyo maana anapambana UN ili Genocide isomeke kuwa ni Genocide against Tutsi, lakini kwa kufanya hivyo hajui kuwa anakiri yeye mwenyewe kuwa yeye ni raisi wa Wauaji, kwa sababu wale anaowatawala almost 80% ya population ya nchi nzima ni haohao aliokwenda kuwashitaki UN ili wahesabike na jumuia ya kimataifa kuwa ni Wauaji dhidi ya wachache wale 20%. Ujinga wa move hii ni kwamba indirectly analitangaza Taifa la Rwanda kama Taifa la Wauaji na kwamba litambulike na ulimwengu as such milele na milele, maana ukishutumu 80% ya population yako kuwa ni genociders basi ujielewei wewe!

3. Kagame ni power Monger na Katili, amewadili watu wengi sana ndani na nje ya Rwanda ili tu yeye aconsolidate power, hii ni hatari kwa mustakbali wa rwanda.

4. Kagame anapendelea Watutsi, kwa mfano wanafunzi wengi wa Kinyarwanda wanaopewa scholarship nje ya nchi na serikali ya rwanda wengi ni Watutsi, Wahutu wanaopewa ni wachache mno!.

Kagame alipaswa awe mwenye kuponya Majeraha ya pande zote huku akiweka ukweli in perspective, Ni kweli waliuawa Watutsi wengi sana, lakini pia kuna Wahutu waliuawa pia ikiwemo maelfu ya waahutu walioshambuliwa na Vikosi vya RPF na kuuawa kwenye makambi ya Wakimbizi walipokuwa wamekimbilia
 
Nimepitia threads nyingi Sana na comments za watu zinazomhusu Paul kagàme, nimesikitika Sana kwa njisi ambavyo watu hawamupendi kagàme , ninaomba tufanye uchunguzi na comments bila chuki binafsi

Angalieni , katika inchi za Afrika au duniani kote , Ni raisi gani amefanikiwa katika kuiletea maendeleo inchi yake ?

Amewaunganisha wanyarwanda wote , makabira ya Rwanda yote ni wamoja na wanampenda Sana kagàme , hiii Ni kupitia kampeni yake iliyoitwa SOTE NI WANYARWANDA.. na Sasa umoja na mshikamano vinaonekana

Amaefanikisha kumaliza rushwa katika inchi yake , ambapo inchi nyingine zimeshindwa kabisa ..

Elimu Ni Bora kuliko inchi yoyote , mfano kila mtoto ana laptop yake , pia kuonesha ubora wake wa elimu , Tanzania imeazima wataalamu wa IT kutoka rwanda

Anatengeneza ndege zisizotumia rubani maalufu Kama DRONES , na ndizo zinatumika kusambaza madawa inchini

Amewagawia wanyarwanda Ngombe na kuwajengea nyumba nzuri

Ameitangaza rwanda kupitia timu ya kubwa ya England ya ARSENAL kupitia VISIT RWANDA, Leo kila mtu duniani anaulizia RWANDA , watalii wanaongezeka kila kukicha ((nitawaletea takwimu )

Kwakweli Mimi siyo mnyarwanda ila nimependa uongozi wa huyu mjeshi , Ni uongozi unaotakiwa kuigwa na watawala wengine , na tukipata kiongozi wa hivi hata akitawala milele ni sawa tu ..

Angalia Burundi , imepitia matatizo sawa na RWANDA , lakin kimaendeleo na usalama bado iko nyuma Sana , hii Ni kwasababu ya kiongozi mubovu

Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,

Anawaoenda watu wake na watu wake wanampenda Sana , Ni wachahe Sana mainterahamwe ndio hawampendi ,

Kiongozi Bora hawezi kukaa kimya akiona watu wake wanauawa , Ni kiongozi mpumbavu Sana anayeweza kuona watu wake wananyanyaswa na akakaa kimya ..!!

KAGAME ni kiongozi wa watu , na ingewezekana tungefanya awe rais wa Afrika ,

Acheni chuki za kipuuzi
Lazima aandamwe. Hii jamii forum ni ya wabongo kwa asilimia kubwa. sasa alipomtunishia kikwete vi misuri njaa lazima wabongo wammaindi sana. Na kama anaona magu ni mshikaji amzengue kidogo tu. ndo atajua jinsi TZ alivyo kiranja wa afrika mashariki na kati
 
Kwenye elimu kafanikiwa vipi? Asilimia kubwa ya wasomi wake wamesoma Tanzania

Kagame hachukiwi Bali anaambiwa ukweli ni mtu wa kulialia anapobanwa kende na anafikiri EAC ni kama Kigali na wanyarwanda wanaombia walale saaa 12 jioni na wanatekeleza

PK ni mtoto mdogo ila anataka kuleta sharubu zake kwa baba zake .

Atafumuliwa
ahahahahhaa kweli kabisa mkuu.
 
Kagame ana madhaifu mabaya sana yafuatayo

1. Ni Mkabila sana, bado ana elementi za kujiona Mesiah wa Watutsi kuliko anavyojiona kuwa Raisi wa Rwanda iliyoungana ambayo Mhutu na Mtutsi kuwa na haki sawa ndiyo maana hataki kusikia kuwa kulikuwa na Wahutu Innocent kabisa waliouawa na Watutsi!

2. Kagame anaamini Wahutu ndiyo walioua Watutsi na kwamba Watutsi ni innocent in every sense, ndiyo maana anapambana UN ili Genocide isomeke kuwa ni Genocide against Tutsi, lakini kwa kufanya hivyo hajui kuwa anakiri yeye mwenyewe kuwa yeye ni raisi wa Wauaji, kwa sababu wale anaowatawala almost 80% ya population ya nchi nzima ni haohao aliokwenda kuwashitaki UN ili wahesabike na jumuia ya kimataifa kuwa ni Wauaji dhidi ya wachache wale 20%. Ujinga wa move hii ni kwamba indirectly analitangaza Taifa la Rwanda kama Taifa la Wauaji na kwamba litambulike na ulimwengu as such milele na milele, maana ukishutumu 80% ya population yako kuwa ni genociders basi ujielewei wewe!

3. Kagame ni power Monger na Katili, amewadili watu wengi sana ndani na nje ya Rwanda ili tu yeye aconsolidate power, hii ni hatari kwa mustakbali wa rwanda.

4. Kagame anapendelea Watutsi, kwa mfano wanafunzi wengi wa Kinyarwanda wanaopewa scholarship nje ya nchi na serikali ya rwanda wengi ni Watutsi, Wahutu wanaopewa ni wachache mno!.

Kagame alipaswa awe mwenye kuponya Majeraha ya pande zote huku akiweka ukweli in perspective, Ni kweli waliuawa Watutsi wengi sana, lakini pia kuna Wahutu waliuawa pia ikiwemo maelfu ya waahutu walioshambuliwa na Vikosi vya RPF na kuuawa kwenye makambi ya Wakimbizi walipokuwa wamekimbilia
Pumba kabisa hizi , hakuna point hata moja ,

Unaweza kuketa ushahidi wowote juu ya uliyoyaandika
 
Wadau wa humu jf ,l
Nashukuru wote kwa jinsi mlivyichangia ,
Nimeona wengi bado mna chuki na kagàme ,
Nawaomba tuondoe chuki binafsi , tuongee uhalisia wa mtu ,
Binafsi namkubali Sana kagàme , hata rais wangu magufuli pia namkubali Sana
 
Back
Top Bottom