Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima uwe na sera.
 
Msingi wa nchi haukujengwa hivyo, na ukisha kosea hapo nothing will change. Ndio reanda ilivyo
 
Ni mlugaluga sana uyo baba, ogopa sana watu wasionenepa…
 
Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide.
Bila Genocide hana cha kusimamia.
Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima uwe na sera.
PK anaamini raia wake wana deni kubwa la kumlipa kwa kuwaokoa na Genocide (deni hilo malipo yake ni kusalia madarakani kwa muda mrefu mpaka achoke)
 
Back
Top Bottom