Kwanini Kakolanya ni mzuri timu ya Taifa lakini sio kwenye klabu?

Kwanini Kakolanya ni mzuri timu ya Taifa lakini sio kwenye klabu?

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Kumekuwa na tuhuma kwa wachezaji wetu wengi kuhusishwa na kupanga matokeo(rushwa) wanapokuwa kwenye timu zao. Na mmojawao ni Kipa Kakolanya. Kuna muda mwingine ukimuangalia unaona jinsi alivyo makini anapokuwa langoni na kuna muda mwingine anaonekana mpambanaji hasa halafu anakaa position fulani kuruhusu kufungwa kirahisi.
Juzi kwenye National team alikuwa ni KIPA MUAMINIFU HASA.

Japo siwalaumu wachezaji wanaokula rushwa maana wanapambania maisha. Kama mchezaji analipwa million 2-3 halafu analetewa million 25 paaaap kwa mechi moja sio rahisi kukataa. Wachezaji wetu wanachokipata ni Umaarufu tu ktk jamii , japo wapo wanaochomoka kimaisha lakini ni kwa uchache sana.

Hata wachezaji wa nje wanaocheza vilabu vyetu wapo wanaopiga deal kupanga matokeo. HATA MORRISON NI BONGE LA CHAWA KWENYE KUPANGA MATOKEO. MFUATILIENI HATA CHAMA MTAKUJA KUNISHUKURU

Nawaona wachezaji waliokuwa na majina makubwa lakini leo walichofanikiwa ni kujenga kanyumba tu, wengi wanachapa lapa kwa usafiri wa daladala. HATA LUNYAMILA ASINGEKUWA MZALENDO KWENYE TIMU ALIZOCHEZEA LEO HII ANGEKUWA JAPO NA BODABODA , HUWA ANAONEKANA MBEZI ANAPIGWA JUA KILA SIKU.
 
Hebu itaje iyo mechi ambayo kakolanya aliachia goli baada ya kupewa rushwa
 
Bila kusahau inonga pamoja na wawa
 
Back
Top Bottom