MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Tokea nimkanye Binti yangu kwa Maneno ya Kisela ( Kimjini Mjini ) kama haya yafuatayo amebadilika, ananiogopa na ananitii ile mbaya.
"Oya si unajiona umeshakua sawa Viziwa vimejitokeza na Makalio yako Kuvimba kama Maandazi ya Azam? Sasa Wewe neng'eneka tu hovyo na Wanaume Wakulale mpaka hizo sehemu zako zipoteze muelekeo Kijiografia upate Mimba na UKIMWI nikuzike. Kaa mbali kabisa na Wanaume kwani Sisi ni Waongo hakuna mfano bali Kazana na Malengo yako, kuwa Makini na huko mbele ukiwa na Maisha yako utaichezea Mihogo mpaka Kuikinai sawa Binti yangu Kipenzi?'
Rafiki yangu Yeye analalamika kuwa kila Siku anamkanya Bintiye Kiustaarabu ( Kiungwana ) kama nitakavyonukuu hapa ila ndiyo Kwanza Bintiye Kawehuka Kitabia na hashikiki.....
"Binti yangu tafadhali muogope Mwenyezi Mungu na ishi Kiimani tafadhali kwani hizi tabia zako hata Kristo na Malaika zake hawazitaki. Tumia muda wako mwingi Kusali na achana na hizi tabia za Kishetani. Nakupenda mno Binti yangu sawa? Mungu akutangulie'
Je, ni kwanini Mimi ninayemkanya Kisela amenielewa na huyu Rafiki yangu anayemkanya Kiustaarabu ndiyo Kwanza hasikilizwi na Bintiye hashikiki kwa tabia chafu na mbovu?