Kwanini kamishna wa PPP David Kafulila hatolei ufafanuzi sakata la sukari?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.

Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.

Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.

Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? 😂🔥

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
 
Kwanza uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa David Kafulila,Mbunge wa mioyo ya watanzania na anayetarajiwa kutua Bungeni kwa kishindo hapo Mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.kama ulivyoona namna alivyolitetemesha bunge hapo majuzi alipotambulishwa na Speaker wa bunge Bungeni

Pili suala hilo la vibari linahusu wizara husika iliyokuwa inatoa vibali.Ofisi ya Mheshimiwa Kafulila haijahusika na vibali vya sukari.

Mwisho ningependa kusema kuwa usisikilize sana uzushi wa wanasiasa uchwara wawapo majukwaa hasa wa upinzani ambao wao huzungumza uongo na maneno yasiyo na ushahidi kwa lengo la kujenga chuki kwa wananchi zidi ya serikali yao.
 
Kwanza uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa David Kafulila,Mbunge wa mioyo ya watanzania na anayetarajiwa kutua Bungeni kwa kishindo hapo Mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.kama ulivyoona namna alivyolitetemesha bunge hapo majuzi alipotambulishwa na Speaker wa bunge Bungeni

Pili suala hilo la vibari linahusu wizara husika iliyokuwa inatoa vibali.Ofisi ya Mheshimiwa Kafulila haijahusika na vibali vya sukari.

Mwisho ningependa kusema kuwa usisikilize sana uzushi wa wanasiasa uchwara wawapo majukwaa hasa wa upinzani ambao wao huzungumza uongo na maneno yasiyo na ushahidi kwa lengo la kujenga chuki kwa wananchi zidi ya serikali yao.View attachment 3019805
Tumbiri akilamba asali huwa anafia kwenye Sega

Ngoja tuome 😂😂😂😂😂
 
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.

Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.

Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.

Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? 😂🔥

Mungu wa Mbinguni awabariki nyok
Unataka Tumbili akose kula matunda ya Uhuru!!
 
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.

Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.

Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.

Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? 😂🔥

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
unadhani hakupata mgao wa bashe na enzake na simu
 
Tumbiri akilamba asali huwa anafia kwenye Sega

Ngoja tuome 😂😂😂😂😂
Maisha haya, mtu anaweza akapokwa mke sababu mke huyo tayari kuna kiongozi anamtaka halafu mwenye mke ukapoozwa kwa teuzi (sega).
Nchi haina watu hiyo, wote mnaowaona pale juu wamefika pale si sababu ya uwezo au uchungu kwa nchi, bali kuna vitu wame trade off kwenye maisha yao ili kufika pale.
Halafu ninyi ndiyo mmewekeza matumaini yenu kwao.
 
Ngoja Lucas abubujikwe na machozi kwanza atakuja kuelezea
 
Kwanza uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa David Kafulila,Mbunge wa mioyo ya watanzania na anayetarajiwa kutua Bungeni kwa kishindo hapo Mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.kama ulivyoona namna alivyolitetemesha bunge hapo majuzi alipotambulishwa na Speaker wa bunge Bungeni

Pili suala hilo la vibari linahusu wizara husika iliyokuwa inatoa vibali.Ofisi ya Mheshimiwa Kafulila haijahusika na vibali vya sukari.

Mwisho ningependa kusema kuwa usisikilize sana uzushi wa wanasiasa uchwara wawapo majukwaa hasa wa upinzani ambao wao huzungumza uongo na maneno yasiyo na ushahidi kwa lengo la kujenga chuki kwa wananchi zidi ya serikali yao.View attachment 3019805
Honestly sijui huwa unaandikaga utoto gani!
 
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.

Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.

Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.

Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? 😂🔥

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
Kafulila mtalaamu wa Mahesabu kama yale ya Polepole
 
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.

Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.

Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.

Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? 😂🔥

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
Huyo ameshaungana na mafisadi hivyo anadumisha ile mila ya kiafrika ya kutokuzungumza wakati wa kula.
 
Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.

Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.

Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.

Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? 😂🔥

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
Inner circle ⭕️ 🙄
 
Maisha haya, mtu anaweza akapokwa mke sababu mke huyo tayari kuna kiongozi anamtaka halafu mwenye mke ukapoozwa kwa teuzi (sega).
Nchi haina watu hiyo, wote mnaowaona pale juu wamefika pale si sababu ya uwezo au uchungu kwa nchi, bali kuna vitu wame trade off kwenye maisha yao ili kufika pale.
Halafu ninyi ndiyo mmewekeza matumaini yenu kwao.
Sasa ni lipi suluhisho la yote haya🤔
 
Back
Top Bottom