Kwanini kamishna wa PPP David Kafulila hatolei ufafanuzi sakata la sukari?

Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.

Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.

Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.

Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? 😂🔥

Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
kwa ma spana yote hayo we kuweza
 
Ni dharau kwa mpina. Kila mtu amemdharau mpina. Ukimya ni dharau kubwa
 
Back
Top Bottom