johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwenye Ubia wa Msamaha wa Kodi ya Sukari Kati ya Public ( Serikali) na Private ( Walioteuliwa kuagiza Sukari ya dharura)Anahusikaje?
Tumbiri akilamba asali huwa anafia kwenye SegaKwanza uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa David Kafulila,Mbunge wa mioyo ya watanzania na anayetarajiwa kutua Bungeni kwa kishindo hapo Mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.kama ulivyoona namna alivyolitetemesha bunge hapo majuzi alipotambulishwa na Speaker wa bunge Bungeni
Pili suala hilo la vibari linahusu wizara husika iliyokuwa inatoa vibali.Ofisi ya Mheshimiwa Kafulila haijahusika na vibali vya sukari.
Mwisho ningependa kusema kuwa usisikilize sana uzushi wa wanasiasa uchwara wawapo majukwaa hasa wa upinzani ambao wao huzungumza uongo na maneno yasiyo na ushahidi kwa lengo la kujenga chuki kwa wananchi zidi ya serikali yao.View attachment 3019805
Unataka Tumbili akose kula matunda ya Uhuru!!Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.
Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? ๐๐ฅ
Mungu wa Mbinguni awabariki nyok
unadhani hakupata mgao wa bashe na enzake na simuNi kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.
Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? ๐๐ฅ
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
Maisha haya, mtu anaweza akapokwa mke sababu mke huyo tayari kuna kiongozi anamtaka halafu mwenye mke ukapoozwa kwa teuzi (sega).Tumbiri akilamba asali huwa anafia kwenye Sega
Ngoja tuome ๐๐๐๐๐
Honestly sijui huwa unaandikaga utoto gani!Kwanza uwe na adabu na heshima kwa Mheshimiwa David Kafulila,Mbunge wa mioyo ya watanzania na anayetarajiwa kutua Bungeni kwa kishindo hapo Mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.kama ulivyoona namna alivyolitetemesha bunge hapo majuzi alipotambulishwa na Speaker wa bunge Bungeni
Pili suala hilo la vibari linahusu wizara husika iliyokuwa inatoa vibali.Ofisi ya Mheshimiwa Kafulila haijahusika na vibali vya sukari.
Mwisho ningependa kusema kuwa usisikilize sana uzushi wa wanasiasa uchwara wawapo majukwaa hasa wa upinzani ambao wao huzungumza uongo na maneno yasiyo na ushahidi kwa lengo la kujenga chuki kwa wananchi zidi ya serikali yao.View attachment 3019805
Kafulila mtalaamu wa Mahesabu kama yale ya PolepoleNi kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.
Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? ๐๐ฅ
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
Anabubujikwa na uharo.Ngoja Lucas abubujikwe na machozi kwanza atakuja kuelezea
Huyo ameshaungana na mafisadi hivyo anadumisha ile mila ya kiafrika ya kutokuzungumza wakati wa kula.Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.
Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? ๐๐ฅ
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
Arushiwe pampas ajistiri.Anabubujikwa na uharo.
Inner circle โญ๏ธ ๐Ni kawaida ya kamishna wa PPP kutolea Ufafanuzi sintofahamu zinazohusu mambo mbalimbali ya Biashara na foreign exchange Nchini.
Na wakati mwingine huenda pale DK 45 ITV kwa Middle Kutoa Ufafanuzi.
Lakini kwenye hili sakata la Sukari mh Kafulila aka Tumbiri yuko kimya Kabisa kana kwamba imports hizo hazijui Kabisa.
Lucas tufanyie wepesi wa kumuuliza Kafulila Sukari na Asali nini tamu zaidi? ๐๐ฅ
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote!
Sasa ni lipi suluhisho la yote haya๐คMaisha haya, mtu anaweza akapokwa mke sababu mke huyo tayari kuna kiongozi anamtaka halafu mwenye mke ukapoozwa kwa teuzi (sega).
Nchi haina watu hiyo, wote mnaowaona pale juu wamefika pale si sababu ya uwezo au uchungu kwa nchi, bali kuna vitu wame trade off kwenye maisha yao ili kufika pale.
Halafu ninyi ndiyo mmewekeza matumaini yenu kwao.
Atoke aseme uhusika wake ama hahusiki kwa namna ipi usiwe kipaza sauti.Anahusikaje?
CrapAtoke aseme uhusika wake ama hahusiki kwa namna ipi usiwe kipaza sauti.