Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Kwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu?
Au ndiyo kulipa fadhila za mchango aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal Tour ambao haukuwa na tija yoyote kwa taifa?
Soma Pia: Taifa Gas yaipa Serikali Mitungi 10,000 ya Gesi
Au ndiyo kulipa fadhila za mchango aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal Tour ambao haukuwa na tija yoyote kwa taifa?
Soma Pia: Taifa Gas yaipa Serikali Mitungi 10,000 ya Gesi