Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
TaifaKwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu?
Au ndiyo kulipa fadhila za mchango wa shilingi Bilioni 7 aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal Tour ambao haukuwa na tija yoyote kwa taifa?
Rostam ndiyo mmiliki wa nchi kwa sasa ni project zake za kujiimalisha samia ni kibaraka wake tu hiyo ni agenda ya raia feki.kimiliki serikali na sasa wapo.katika kitu wanakiita PPPKwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu?
Au ndiyo kulipa fadhila za mchango wa shilingi Bilioni 7 aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal Tour ambao haukuwa na tija yoyote kwa taifa?
Hiyo sio kampeni bali ni matangazo ya biashara na utafutaji masokoKwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu?
Au ndiyo kulipa fadhila za mchango aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal Tour ambao haukuwa na tija yoyote kwa taifa?
Soma Pia: Taifa Gas yaipa Serikali Mitungi 10,000 ya Gesi
Hakuna nchi rahisi kuifanya iwe na maendeleo ya kutisha Africa nzima kama Tanzania , ila nashangaa kwa nini haiwezekani 🤔
Kwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu?
Au ndiyo kulipa fadhila za mchango aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal Tour ambao haukuwa na tija yoyote kwa taifa?
Soma Pia: Taifa Gas yaipa Serikali Mitungi 10,000 ya Gesi