Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii reply yako umenifanya nikupuuzie Sana, Yaani haiendani na Uzi hata kidogo. Punguza ushabiki. Lissu Kaingiaje hapo!?Watu wamemkataa Tundu Lissu
Hiyo point namba saba umenikumbusha kuna mtu namdai....Sababu
1. Vyama vilifungiwa muda mrefu havikujitanua kupata wanachama
2, ccm hawana jipya zaidi ya ndege na reli
3. Vyombo vya habari vimefungiwa zisitoe habari za kampeni ya uchaguzi kwa upinzani
4. uoga wa maambukizi ya Corona
5 vitisho vya polisi kwa vyama
6.nec imevuruga kwa kuwakataa wagombea
7.ukata wananchi wako hoi kiuchumi
Kaingia kwasababu ni mmoja wa wagombea. Hujaelewa.mada inauliza nn?Mkuu hii reply yako umenifanya nikupuuzie Sana, Yaani haiendani na Uzi hata kidogo. Punguza ushabiki. Lissu Kaingiaje hapo!?
NEK ifumuliwe.Imekuwa ya Ovyo sanaSababu
1. Vyama vilifungiwa muda mrefu havikujitanua kupata wanachama
2, ccm hawana jipya zaidi ya ndege na reli
3. Vyombo vya habari vimefungiwa zisitoe habari za kampeni ya uchaguzi kwa upinzani
4. uoga wa maambukizi ya Corona
5 vitisho vya polisi kwa vyama
6.nec imevuruga kwa kuwakataa wagombea
7.ukata wananchi wako hoi kiuchumi
mkuu uko sawa ila niseme tu chama dola hasa viongozi wa juu wameisha ona aina ya mchezo ulivyo mgum , japo twaongea kujifuraisha hum tu thats hata hii engua inawafeva kidogo but niseme tu ccm pamoja na viti ambavyo tiyari wanavyo vikiongezeka zaidi katika uchaguzi havitazidi 25 nakwambia , msicheze na uchaguzi mkuu , mfano jiulize kama chama dola kinafikili uchaguzi huu ni mwepesi why wanatumia gharama kubwa , kwa macho ya rohoni huu ni uchaguzi mgum kuwahi tokea tz na hivihivi kimasiara uanweza shangaa chadema inaondoka na taulo ya mtu , msemo wa gwajimaRushwa imekosekana, pili chama tawala siyo tena kila cha 2015 wakati kilipokuwa ICU (mahututi Hospital ya Apollo India) na Zito na Lipumba kuvuruga upinzani!! Leo hii hakuna cha ACT-Wazalendo, Chadema, TLP, UDP, NCCR, NRA, TADEA,CCK wala mamake CUF! wote hao hawapati mbunge hata mmoja Bara ila CHADEMA wanaweza kupata angaa 10!!!!! Kosa la upinzani walilolifanya na kutenda 2015 litawagarimu mmno mno mno kwa generation(vizazi) vinne vijavyo!
Ni mlevi wa Gongo huyoHuna haya wewe
Enzi za Kikwete walau watu waliruhusiwa kushiriki uchaguzi.Hata Lowasa fedha zake zilipigwa pini kuingia, ziliingia awamu mbili ya tatu zikapigwa pini.
Kaingia kwasababu ni mmoja wa wagombea. Hujaelewa.mada inauliza nn?
[/QUOT Unaposema watu wamemkataa Lissu ina maana yupo waliyemkubali, Swali
Kama wamemkataa Lissu, ninani. Wamemkubali?? Na Kama yupo
waliyemkubali Zaidi ya Lissu kwa Nini bado zimepooza?? Huoni bado umeleta Ushabiki mbuzi. Siyo lazima kila Uzi uchangie Mengine yakupite.
CCM wameharibu nchi sana tumekuwa kama Sudan ya Kusini.Pamoja na kufunguliwa kwa dirisha la kampeni, lakini dalili zote zinaonyesha Wananchi hawana hamu na kampeni, wanaofuatilia kampeni ni wachache ukilinganisha na mwaka 2015.
Nimejaribu kuangalia ufunguzi wa kampeni za CCM, wao walinufaika zaidi na wanachama wao hai. CHADEMA wao wanategemea watu wasio na kazi maalumu na ndiyo kinachowafanya waanze kampeni muda wa saa 11 ambapo watu wanatoka sehemu za kazi.
CCM ndo usiseme, wako slow kweli kweli au kwakuwa wana akiba kibindoni? Anyway, mwaka huu watu wengi wanafatilia siasa wakiwa wanapambana na maisha yao.
NB: WATU WENGI WANASUBIRI UTOKEE MUUJIZA LISsU ASHINDE ILA HAWADHANI KAMA ITAWEZEKANA
Profesa Magufuli anafanya yale yote watz mnayoyataka.Pamoja na kufunguliwa kwa dirisha la kampeni, lakini dalili zote zinaonyesha Wananchi hawana hamu na kampeni, wanaofuatilia kampeni ni wachache ukilinganisha na mwaka 2015.
Nimejaribu kuangalia ufunguzi wa kampeni za CCM, wao walinufaika zaidi na wanachama wao hai. CHADEMA wao wanategemea watu wasio na kazi maalumu na ndiyo kinachowafanya waanze kampeni muda wa saa 11 ambapo watu wanatoka sehemu za kazi.
CCM ndo usiseme, wako slow kweli kweli au kwakuwa wana akiba kibindoni? Anyway, mwaka huu watu wengi wanafatilia siasa wakiwa wanapambana na maisha yao.
NB: WATU WENGI WANASUBIRI UTOKEE MUUJIZA LISsU ASHINDE ILA HAWADHANI KAMA ITAWEZEKANA
NEK imefanya vema kuengua wapinzani.Upinzani hawana wagombea wenye mvuto.
Toka kuzinduliwa kwa kampeni yaan sehemu nyingi za dar Utadhani Hakuna uchaguzi mwaka huu... Story za simba na yanga ndio zimetapaa... SIJASIKIA POPOTE WATU WAKIJADILI CCM AU CHADEMA ETC..
"dalili zote zinaonyesha Wananchi hawana hamu na kampeni".Pamoja na kufunguliwa kwa dirisha la kampeni, lakini dalili zote zinaonyesha Wananchi hawana hamu na kampeni, wanaofuatilia kampeni ni wachache ukilinganisha na mwaka 2015.
Nimejaribu kuangalia ufunguzi wa kampeni za CCM, wao walinufaika zaidi na wanachama wao hai. CHADEMA wao wanategemea watu wasio na kazi maalumu na ndiyo kinachowafanya waanze kampeni muda wa saa 11 ambapo watu wanatoka sehemu za kazi.
CCM ndo usiseme, wako slow kweli kweli au kwakuwa wana akiba kibindoni? Anyway, mwaka huu watu wengi wanafatilia siasa wakiwa wanapambana na maisha yao.
NB: WATU WENGI WANASUBIRI UTOKEE MUUJIZA LISsU ASHINDE ILA HAWADHANI KAMA ITAWEZEKANA
Ile kuwalazinisha watu kujiunga nae jamaa kaharibu siasa.Magufuli ameharibu siasa za Tanzania yaani watu wamechoka siasa