Hizi lebo za bia haziwezi kutumika mara mbili kupunguza gharama za kuchapa lebo mpya? Lebo nyingi zinamfikia mnywaji zikiwa katika hali nzuri kabisa na zinarudishwa kiwandani zikiwa zipo vema kwenye chupa.
Najiuliza kampuni za bia kwa nini hazizitumii hizi lebo kwa mara ya pili? Maana ukiloweka chupa kwenye maji baada ya muda mfupi lebo zinatoka zikiwa nzima kabusa. Hii ingesaidia kutunza mazingira na kupunguza carbon emission kwa kutengeneza lebo mpya kila mara.