Zinaharibika wakati wa kusafisha chupa,Hizi lebo za bia haziwezi kutumika mara mbili kupunguza gharama za kuchapa lebo mpya? Lebo nyingi zinamfikia mnywaji zikiwa katika hali nzuri kabisa na zinarudishwa kiwandani zikiwa zipo vema kwenye chupa. Najiuliza kampuni za bia kwa nini hazizitumii hizi lebo kwa mara ya pili? Maana ukiloweka chupa kwenye maji baada ya muda mfupi lebo zinatoka zikiwa nzima kabusa. Hii ingesaidia kutunza mazingira na kupunguza carbon emission kwa kutengeneza lebo mpya kila mara.
Basi wangewapa watu kazi wazikusanye wawauzie kwa bei ambayo ni chini ya gharama ya kuchapisha mpya. Watu wangeweza kuloweka chupa kwenye maji wakaziondoa na kuzikusanya hizi lebo!Zinaharibika wakati wa kusafisha chupa,
We nawe una makusudi sana, mada za bia weekend Tena jioni,
Kukaushana makoo tu, ah
Hiki kitendo unachozungumza kwenye hii thread yako kinaitwa "re-using" na wala si "recycling"!Hizi lebo za bia haziwezi kutumika mara mbili kupunguza gharama za kuchapa lebo mpya? Lebo nyingi zinamfikia mnywaji zikiwa katika hali nzuri kabisa na zinarudishwa kiwandani zikiwa zipo vema kwenye chupa.
Najiuliza kampuni za bia kwa nini hazizitumii hizi lebo kwa mara ya pili? Maana ukiloweka chupa kwenye maji baada ya muda mfupi lebo zinatoka zikiwa nzima kabusa. Hii ingesaidia kutunza mazingira na kupunguza carbon emission kwa kutengeneza lebo mpya kila mara.
Sawa tu. Basi ifanyike re-using kuhifadhi mazingira. Shukran kwa masahihishoHiki kitendo unachozungumza kwenye hii thread yako kinaitwa "re-using" na wala si "recycling"!