Kwanini Kanda ya Ziwa walio CCM ndio wanawatetea sana Halima Mdee na wenzake?

Kwanini Kanda ya Ziwa walio CCM ndio wanawatetea sana Halima Mdee na wenzake?

Kea sasa watetezi wakubwa wa akina Halima Mdee na wenzake ni wanaccm kutoka Kanda ya Ziwa.

Bado sijaelewa ni kwanini!!!
Kwakuwa wakishiriki utesi wa chadema na wanachadema na Sasa wanaumia kuona wakipumua baada ya zile njia mbaya kuchukuwa mkondo mpya WA haki😂
 
Ni kweli siku hizi JF tunajadiri mada yoyote tu hata Kama inawatuhumu watu bila ushahidi,hata Kama Ni wazi inaonekana mtu katunga tu Mambo yake binafsi

Ila kwa hii mada yako,umezidisha zaidi kutudharau wanna jf
 
Kanda ya ziwa ipi?. Halafu CCM inawateteaje akina Halima Mdee.
Walikuja ndio karata yakuisambaratisha chadema kumbe walibugi mbaya kumbe wanampiga. Chura teke nakumwondezea mwendo🏃
 
Kea sasa watetezi wakubwa wa akina Halima Mdee na wenzake ni wanaccm kutoka Kanda ya Ziwa.

Bado sijaelewa ni kwanini!!!
Je kwa nini wote wanaomsakama Sabaya na Makonda ni wanachadema?

Kwa sasa kuanzia mitandaoni mpaka Magazetini kote hatuoni habari za Sabaya ghafla.

Sababu kwa sasa chadema wanajitahidi kumkomoa Halima Mdee & Company.

Chama kilichojaa watu wenye kuamini katika visasi hakipaswi kupewa nafasi yoyote ya kutuongoza.

Iko siku kinaweza kutuletea mambo yasiyopendeza kwenye Dunia staarabu.
 
Wanatetea legacy ya uvunjaji haki ya yule mungu wao wanaomwabudu,, laana nyingine za kujitakia tu waziwazi
 
Kea sasa watetezi wakubwa wa akina Halima Mdee na wenzake ni wanaccm kutoka Kanda ya Ziwa.

Bado sijaelewa ni kwanini!!!
Sababu ni kwamba wengi wao ni watoto wetu. Esther Bulaya, Esther Matiko wote kutoka mkoa wa Mara, Salome Makamba kutoka Shinyanga. Taja wengine toka Kanda ya Ziwa
 
Je kwa nini wote wanaomsakama Sabaya na Makonda ni wanachadema?

Kwa sasa kuanzia mitandaoni mpaka Magazetini kote hatuoni habari za Sabaya ghafla.

Sababu kwa sasa chadema wanajitahidi kumkomoa Halima Mdee & Company.

Chama kilichojaa watu wenye kuamini katika visasi hakipaswi kupewa nafasi yoyote ya kutuongoza.

Iko siku kinaweza kutuletea mambo yasiyopendeza kwenye Dunia staarabu.
Acha kutetea majambazi wewe
 
Back
Top Bottom