Kwanini karatasi za mitihani ya wanafunzi ndiyo zimegeuzwa vifungashio vya maandazi?

Kwanini karatasi za mitihani ya wanafunzi ndiyo zimegeuzwa vifungashio vya maandazi?

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Just imagine hii ni karatasi ya mtihani wa "MOCK" uliofanyika mwaka huu mwezi May tu hapo, ila hata kabla ya wanafunzi hawajapewa "Marking Scheme" tayari answer sheet yake imeshafika Dar kutoka Mwanza.

Na mtihani wa Mock ni mtihani wa 2 wa uzito baada ya mtihani wa taifa. Binafsi siku nikibahatika kukutana na answer sheet ya mwanangu mtaani imefungashiwa vitumbua au chips, wilaya/mkoa husika tutaenda kuelewana nao vizuri mahakamani kwa sababu hizi taarifa ni confidential, kama siyo confidential basi hizi answer sheet wawe wanarudishiwa wanafunzi husika.

IMG_20240717_091938.jpg


IMG_20240717_092005.jpg
 
Back
Top Bottom