Kwanini Karume isijengwe mall ya gorofa 3/4 ya machinga kama Kenya/Uganda?

Kwanini Karume isijengwe mall ya gorofa 3/4 ya machinga kama Kenya/Uganda?

Pale Karume lijengwe mall/soko la kisasa ambalo Lina design nzuri siyo Kama machinga complex, Ili liweze Kuacommodate machinga, soko liwe zuri hata China yapo mazuri sana, machinga aliedesign like soko ni baya sana wasitengeneze Kama like.

Liwekewe vidhibiti moto, na features zote. Tuache siasa za space na club house.

Mama toa pesa Kama hamna tutachanga raia. Ila soko liwe na design nzuri na la kuvutia. Sio gofu Kama machinga complex
Hata ujenge jengo la ghorofa mia......kama hamna ajira,elimu yetu haiwekezi kwenye kutengeneza vitu na kutatua matatizo,kama hatuwekezi kwenye madini,kilimo,uvuvi,migufo na viwanda.......vijana wote watatoka mikoani kuja DSM kua machinga na kulijaza hilo jengo la ghorofa 100
 
Back
Top Bottom