Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Wewe kibaraka wa kipara mwezi, angani na ukosi siku zako za kuzima zimewadiaMwenge ni protocal ya Rais, nilitarajia Mkuu wa Mkoa wa Arusha leo akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulikoni Arusha!?
Hata mgomo wa wafanyabiashara Namanga, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Arusha hajaenda kuushughulikia?
Ulikosea sana kutumwa kupeleka sukuvu mpalazo itakurudia