Kwanini Katibu Tawala Mkoa wa Arusha akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara leo? Mkuu wa Mkoa wa Arusha yuko wapi?

Wazalendo wa Nchi wanapewa sumu lakini mamtu ya hovyo ndiyo wanapenda
 
Siku zote ucjisifu una mbio!!





KAZI ni kipimo cha UTU
 
Sasa naamini Makonda hayupo Arusha. Nataka sasa kujua nini kimemsibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…