Kwanini Katibu Tawala Mkoa wa Arusha akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara leo? Mkuu wa Mkoa wa Arusha yuko wapi?

Tutajie kifungu cha katiba kinachosema Mwenge utapokelewa na Mkuu wa mkoa 🐼
Protokali. Aliyeupokea ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara toka kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha. Kumbuka Mkuu wa Mkoa wa Mara alikuwepo kwenye hafla hiyo.
 
Matukio yanazidi kutoa siri nje..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…