Kwanini katika chumba cha upasuaji kote Duniani wanazaa au kutumia nguo za kijani

Umejibu kitaalamu sana. Hongera.
 
Ma Dr. na wajuzi wa mambo, hili swali limekua likiniumiza sana kichwa, majibu niliyopata Google hajakunifanya niishie hapo...

Kwanini rangi ya kijani?
kuna mkuu kakujibu vizuri sana, na hata hivyo sio kijani tu, rangi ya bluu/blue pia inatumika sana na sababu ni hiyohiyo moja
 
Naongezea hapo kwenye colour coding, Kijani pia humaanisha "sterility" usafi(hakuna uchafu/wadudu) ni kinyume na red/nyekundu
 
Acha imani potofu, unawaza uchawi uchawi tu.. rangi haina uhusiano na uhai wala kifo
Kuwa clinical officer hakukufanyi ujue yote yaliyopo katika ulimwengu wa medicine!....unajua alama ya nyoka kwenye fimbo inaashiria nini katika afya!?
 
Asante
 

The image of serpents wrapped around a staff is a familiar one in the medical field, decorating pharmaceutical packaging and hospitals alike. Snakes bites are generally bad news, and so the animal might seem ill-fitting as the symbol of the medical profession, but the ancient emblem actually has a quite a story behind it.

There are actually two versions of the symbol. The winged version is known as a caduceus, and the stick is actually a staff that was carried by the Olympian god Hermes. In Greek mythology, Hermes was a messenger between the gods and humans (which explains the wings) and a guide to the underworld (which explains the staff). Hermes was also the patron of travellers, which makes his connection to medicine appropriate because, in the olden days, doctors had to travel great distances by foot in order to visit their patients.

The Greeks regarded snakes as sacred and used them in healing rituals to honour Asclepius, as snake venom was thought to be remedial and their skin-shedding was viewed as a symbol of rebirth and renewal. Which is a good thing to keep in mind the next time you spot a medical alert bracelet featuring the seemingly sinister serpents.
 
Kuwa clinical officer hakukufanyi ujue yote yaliyopo katika ulimwengu wa medicine!....unajua alama ya nyoka kwenye fimbo inaashiria nini katika afya!?
Umejuaje ni CO!? Kwan awez kuwa MD ebu punguza dharau mkuu CO ndio wakomboz wa afya Tanzania japo hawana leseni na ni unknown njee ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…