wise-comedian
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 3,293
- 3,945
Wewe umekariri tu vitu,unapaswa kuelewa mambo!Sio sababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umekariri tu vitu,unapaswa kuelewa mambo!Sio sababu
kuna waalimu wengiAta ✖
Hata✔
Umejibu kitaalamu sana. Hongera.Rangi ya kijani ni opposite ya red....yani ni rangi yenye wavelength ndogo kwahio ni haivuti attention sana..
Hii inawawezesha ma dr wawe focused na mgonjwa na sio rangi ya nguo..
Mfano wangevaa nguo zenye rangi yenye wavelength kibwa kama red au yellow wangekuwa wanapoteza focus na kuanza kushangaa rangi za nguo..
Hii pia ndio sababu magari ya wanafunzi (schoolbus) zina rangi ya njano ili zionekane kwa uraisi....pia taa za brake ni nyekundu
Acha imani potofu, unawaza uchawi uchawi tu.. rangi haina uhusiano na uhai wala kifoWewe umekariri tu vitu,unapaswa kuelewa mambo!
kuna mkuu kakujibu vizuri sana, na hata hivyo sio kijani tu, rangi ya bluu/blue pia inatumika sana na sababu ni hiyohiyo mojaMa Dr. na wajuzi wa mambo, hili swali limekua likiniumiza sana kichwa, majibu niliyopata Google hajakunifanya niishie hapo...
Kwanini rangi ya kijani?
Naongezea hapo kwenye colour coding, Kijani pia humaanisha "sterility" usafi(hakuna uchafu/wadudu) ni kinyume na red/nyekunduMkuu Going Concern, salama kwako.
Kwa taarifa yako rangi ya kijani kwenye vyumba vya upasuaji (operating theatres) siyo kwa ajili ya mavazi tuu yaani nguo za madakari,mashuka,vitambaa na hata mavazi ya watu wengine wote wanaohusika katika vyumba hivyo, bali pia ni kwa ajili ya mazingira ya vyumba hivyo kwani ni matakwa ya fani ya utabibu kuwa na rangi ya kijani kwenye vyumba hivyo.
Nikisema mazingira nina maanisha kuwa hata vifaa vya ujenzi vinavyotumika katika ujenzi wa vyumba huchaguliwa kwa makusudi kuwa vya rangi ya kijani. Mfano wall na floor tiles huwa ni za rangi ya kijani pamoja na samani yaani furniture. Kwenye taaluma ya utabibu rangi ya kijani huashiria uhai (kwa kuihusisha na viumbe hai hasa mimea), rangi ya kijani hupunguza stress kwa madakari na isitoshe damu inapodondokea kwenye shuka la kijani hutokea doa jeusi Na hivyo kumuepusha mgonjwa au daktari kuwa na uoga (nadhani unaweza kupata picha ya mazingira ya maduka ya kuuzia nyama au machinjoni ya nyama ambapo watumishi huvaa nguo nyeupe,iwe makoti na mabuti).Vilevile kwa ajili ya colour coding, muuguzi yeyote au mwana taaluma wa afya akiona kifaa au kitu cha rangi ya kijani mara moja hugundua kuwa kinahusika na chumba cha upasuaji.
Kuna Rangi nyingine pia, inatumika kwenye vyumba vya upasuaji,nayo ni rangi ya blue,rangi hii ni "sky blue" to be precisely. Rangi hiyo ni kama hii ya jukwaa hili letu la Jamii Forum. Kwa taarifa tuu,hii ndiyo rangi inayongoza kwa muonekano na binadamu kwenye hii dunia yetu, kwani hata anga ni la rangi hii. Katika fani ya utabibu hasa wa magonjwa ya akili rangi hii hutumika sana. Hii inaitwa neutral colour.............................Ukifuatilia maswala ya rangi,utagundua kuwa kila rangi huwa ina maana yake hasa kwenye itikadi, siasa, uchumi, michezo, utawala,majeshi nk.
kwa ruhusa yako naomba niishie hapa.
Wasalamu,
Mwenzetu
Kuwa clinical officer hakukufanyi ujue yote yaliyopo katika ulimwengu wa medicine!....unajua alama ya nyoka kwenye fimbo inaashiria nini katika afya!?Acha imani potofu, unawaza uchawi uchawi tu.. rangi haina uhusiano na uhai wala kifo
AsanteMkuu Going Concern, salama kwako.
Kwa taarifa yako rangi ya kijani kwenye vyumba vya upasuaji (operating theatres) siyo kwa ajili ya mavazi tuu yaani nguo za madakari,mashuka,vitambaa na hata mavazi ya watu wengine wote wanaohusika katika vyumba hivyo, bali pia ni kwa ajili ya mazingira ya vyumba hivyo kwani ni matakwa ya fani ya utabibu kuwa na rangi ya kijani kwenye vyumba hivyo.
Nikisema mazingira nina maanisha kuwa hata vifaa vya ujenzi vinavyotumika katika ujenzi wa vyumba huchaguliwa kwa makusudi kuwa vya rangi ya kijani. Mfano wall na floor tiles huwa ni za rangi ya kijani pamoja na samani yaani furniture. Kwenye taaluma ya utabibu rangi ya kijani huashiria uhai (kwa kuihusisha na viumbe hai hasa mimea), rangi ya kijani hupunguza stress kwa madakari na isitoshe damu inapodondokea kwenye shuka la kijani hutokea doa jeusi Na hivyo kumuepusha mgonjwa au daktari kuwa na uoga (nadhani unaweza kupata picha ya mazingira ya maduka ya kuuzia nyama au machinjoni ya nyama ambapo watumishi huvaa nguo nyeupe,iwe makoti na mabuti).Vilevile kwa ajili ya colour coding, muuguzi yeyote au mwana taaluma wa afya akiona kifaa au kitu cha rangi ya kijani mara moja hugundua kuwa kinahusika na chumba cha upasuaji.
Kuna Rangi nyingine pia, inatumika kwenye vyumba vya upasuaji,nayo ni rangi ya blue,rangi hii ni "sky blue" to be precisely. Rangi hiyo ni kama hii ya jukwaa hili letu la Jamii Forum. Kwa taarifa tuu,hii ndiyo rangi inayongoza kwa muonekano na binadamu kwenye hii dunia yetu, kwani hata anga ni la rangi hii. Katika fani ya utabibu hasa wa magonjwa ya akili rangi hii hutumika sana. Hii inaitwa neutral colour.............................Ukifuatilia maswala ya rangi,utagundua kuwa kila rangi huwa ina maana yake hasa kwenye itikadi, siasa, uchumi, michezo, utawala,majeshi nk.
kwa ruhusa yako naomba niishie hapa.
Wasalamu,
Mwenzetu
Duh! Toa sababu basiSio sababu
SijuiKuwa clinical officer hakukufanyi ujue yote yaliyopo katika ulimwengu wa medicine!....unajua alama ya nyoka kwenye fimbo inaashiria nini katika afya!?
Sijui
Hii rangi huusika sana na akili. Na inashauriwa sana na wataalam wa saikolojia itumike vyumbani ili kusaidia kupunguza stresssky blue
Umejuaje ni CO!? Kwan awez kuwa MD ebu punguza dharau mkuu CO ndio wakomboz wa afya Tanzania japo hawana leseni na ni unknown njee ya nchi.Kuwa clinical officer hakukufanyi ujue yote yaliyopo katika ulimwengu wa medicine!....unajua alama ya nyoka kwenye fimbo inaashiria nini katika afya!?