Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Ma Dr. na wajuzi wa mambo, hili swali limekua likiniumiza sana kichwa, majibu niliyopata Google hajakunifanya niishie hapo...
Kwanini rangi ya kijani?
Kwanini rangi ya kijani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una haraka utadhani ulikua unashindana mtu asikuwahi akapost post kama yako.@Mods nisaidieni kuedit hapo juu, sio kuzaa ni kuvaa
Kijani kama hichi cha kwetu au??
mwana mapema yote hii ushapiga maji?Wanazaa?
Sio sababuNguo ya kijani kiimani inamaanisha uhai...ndio maana wanavaa kupunguza mkosi wa kifo!....kuna vitu duniani ni deep kuliko neno deep lenyewe....google "credo vusamazulu mutwa" aliwahi gusia hili katika kitabu chake cha "indaba my children"
Ma Dr. na wajuzi wa mambo, hili swali limekua likiniumiza sana kichwa, majibu niliyopata Google hajakunifanya niishie hapo...
Kwanini rangi ya kijani?
Dah...hisabati hizi....hazimuachi mtu salama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijani chetu ni negative ya maana ya kijani. Our kijani =(1/kijani)