Kwanini katika elimu yetu Kingereza ni lazima lakini kilimo ni hiari?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Kuna pahala hatuko sawa.

Kwanini katika elimu ya vijana wetu Sekondari Somo la Kingereza ni lazima lakini somo la Kilimo na Biashara ni uchaguzi?

Nawaza kwamba Kilimo na Biashara yawe lazima.

CC: Wizara ya Elimu
 
Mwanakwetu umetisha sana,
Alive Great thinker I know.
 
Kilimo ni sayansi mkuu, yaani kilimo Cha kushika jembe au trekta sio kilichopo kwenye somo la kilimo. Kule Kuna Mambo mengi mno. Na Kwa upande wa biashara na uchumi hesabu Kama kawa. Kwahiyo acha twende tu.

Kuhusu agriculture Ile ya juu juu ipo kwenye geography kwahiyo idea watajifunzia huko watoto.
 
Mbona hicho Kiingereza watoto wanafeli pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…