Kwanini katika kundi kubwa la wanaume wa miaka 50+ wanaofariki na kupata maradhi ni wanywa pombe ?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Wanywa pombe na wavuta sigara hasa walioanza wakiwa vijana.

Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe.

Katika maradhi huwa ni matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, matatizo ya moyo, mapafu, n.k.

Kundi hili pia ukifatilia ndio hufa mapema zaidi

Na pengine hata kwenye dini zinazokataza pombe, wapo wanaokunywa ila kwa wale wanaume wanaosimamia misingi hii unakuta ni kawaida sana kuishi hadi 80 huko
 
Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe.

Miaka 50 wengi katika hili kundi inazoeleka kuwa na magonjwa kama matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, n.k.

Kundi hili pia ukifatilia ndio hufa mapema zaidi
Data ziko wapi,,..!?
 
Wanywa pombe wengi hawana msongo wa mawazo kama wanywa soda na juice.
kisukari na hayo magonjwa mengine uliyotaja wanayapata wanywa soda kwa wingi
 
elimika mkuu, pombe inaongeza presha ya damu, kurudia rudia kunaleta uwezekano mkubwa wa matatizo ya bp ukifika miaka takribani 45 na kuendelea
 
Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe.

Miaka 50 wengi katika hili kundi inazoeleka kuwa na magonjwa kama matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, n.k.

Kundi hili pia ukifatilia ndio hufa mapema zaidi
Acha pombe,pombe mbaya Ina micotin.Na huchchea sana kula nyama.
 
Umetumwa?

Wakifa wanakudhuru nini?

Wewe hautakufa vile haunywi?

We usinywe hujalazimishwa kaa uishi miaka Mia tisa achana na maisha ya watu

Eti uchunguzi, uchunguzi wa Mavi. We kunywa masoda yako hayo uishi milele
 
elimika mkuu, pombe inaongeza presha ya damu, kurudia rudia kunaleta uwezekano mkubwa wa matatizo ya bp ukifika miaka takribani 45 na kuendelea
Kuna mzee mmoja anaitwa Chalz Njonjo mwanasheria mkuu wa zamani Kenya. ana miaka 103 mpaka leo anakula beer. Muhimu jitahidi kubalance diet achana na hizo ngonjera za kudanganya watu kwamba pombe zinauwa! Kila kitu jitahidi ufanye kwa kadiri
 
Pombe inayonywewa kama chai huwa si nzuri kiafya. Madaktari wameshaweka kiwango cha afya cha kunywa pombe.

Mtu ukihesabu kwa wiki amekunywa kreti 5 pekee yake, utegemee atakuwa salama?

Jiwekee utaratibu kuwa unakunywa beer maybe on weekends siku ya ijumaa na jumamosi, au anyday katikati ya wiki but uwe na limit, say inakunywa zako beer tatu hadi tano then basi unaenda nyumbani.

Sio unalewa hadi haujitambui every day of every week.
 
Jamaa yangu anaita kula chakula!
 
Back
Top Bottom