Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Wanywa pombe na wavuta sigara hasa walioanza wakiwa vijana.
MOYO
FIGO
KONGOSHO
UTUMBO MPANA
BANDAMA
MAPAFU
KIBOFU CHA MKOJO
INI
MOYO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanywa pombe na wavuta sigara hasa walioanza wakiwa vijana.
Unaimbaa unatajaa!MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
FIGO
KONGOSHO
UTUMBO MPANA
BANDAMA
MAPAFU
KIBOFU CHA MKOJO
INI
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
MOYO
Nataja kikubwa ni MOYO ndio maana hata Jeshini wakikugundua una MOYO mkubwa wanakutimua hawakuchukui wanajua utawafiaUnaimbaa unatajaa!
Unajifariji sana mlokole... hiyo ni kinyume chake wanywa sumu (soda) na masukari ndo mnaongoza kwa diabetes, BP na magonjwa ya moyo!Wanywa pombe na wavuta sigara hasa walioanza wakiwa vijana.
Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe.
Katika maradhi huwa ni matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, matatizo ya moyo, n.k.
Kundi hili pia ukifatilia ndio hufa mapema zaidi
Na pengine hata kwenye dini zinazokataza pombe, wapo wanaokunywa ila kwa wale wanaume wanaosimamia misingi hii unakuta ni kawaida sana kuishi hadi 80 huko
watu wa vijijini hasa wazee ambao walizikuta pombe zao za kienyeji wana afadhali, ila kwa kizazi cha sasa vijana wanafakammia haya mawine na hizi double kick ni suala la muda tu.Uchaggani wanakunywa mbege tangu watoto na ndio mkoa wenye wazee wengi
Charlz Njonjo alikufa mwaka jana akiwa na miaka 101Kuna mzee mmoja anaitwa Chalz Njonjo mwanasheria mkuu wa zamani Kenya. ana miaka 103 mpaka leo anakula beer. Muhimu jitahidi kubalance diet achana na hizo ngonjera za kudanganya watu kwamba pombe zinauwa! Kila kitu jitahidi ufanye kwa kadiri
kufa ni kufa haijalishi umekufa kwa sababu gani hicho kinachouua ndio sababu amabayo ulitakiwa kufa kuna watoto wanafia tumboni hawajauta hata pumzi kuna watu wamekua hawanywi pombe sigara wala aina yoyote ya starehe wamekula vegetables tuu lakini wamekufa na cancer za matumbo..Point ni kwamba kufa kupo huwezi kukimbia ila namna ya kuishi ndio tunaweza kuchagua na haina uhusiano wowote na kifo au sababu ya kifo chako unaweza kufa kwa kupaliwa na ugali....Wanywa pombe na wavuta sigara hasa walioanza wakiwa vijana.
Unakuta hata makazini huku kwenye circle za wale wa 50+, wanaoongozea kufariki na kupata maradhi ni wale wanywa pombe.
Katika maradhi huwa ni matatizo ya vibofu, maini, kisukari, bp, matatizo ya moyo, mapafu, n.k.
Kundi hili pia ukifatilia ndio hufa mapema zaidi
Na pengine hata kwenye dini zinazokataza pombe, wapo wanaokunywa ila kwa wale wanaume wanaosimamia misingi hii unakuta ni kawaida sana kuishi hadi 80 huko
Amekufa bado anagonga beerCharlz Njonjo alikufa mwaka jana akiwa na miaka 101
Hao jamaa ni washamba sana duniani hawanywi beer na motoni wataingia kwa unafiq.Kwa sababu wanywa Pombe ni wengi kuliko ninyi wafia dini