Kwanini katika kundi kubwa la wanaume wa miaka 50+ wanaofariki na kupata maradhi ni wanywa pombe ?

Unajifariji sana mlokole... hiyo ni kinyume chake wanywa sumu (soda) na masukari ndo mnaongoza kwa diabetes, BP na magonjwa ya moyo!
 
Uchaggani wanakunywa mbege tangu watoto na ndio mkoa wenye wazee wengi
watu wa vijijini hasa wazee ambao walizikuta pombe zao za kienyeji wana afadhali, ila kwa kizazi cha sasa vijana wanafakammia haya mawine na hizi double kick ni suala la muda tu.

Sijui kuna siri ipi ya pombe za kienyeji
 
kufa ni kufa haijalishi umekufa kwa sababu gani hicho kinachouua ndio sababu amabayo ulitakiwa kufa kuna watoto wanafia tumboni hawajauta hata pumzi kuna watu wamekua hawanywi pombe sigara wala aina yoyote ya starehe wamekula vegetables tuu lakini wamekufa na cancer za matumbo..Point ni kwamba kufa kupo huwezi kukimbia ila namna ya kuishi ndio tunaweza kuchagua na haina uhusiano wowote na kifo au sababu ya kifo chako unaweza kufa kwa kupaliwa na ugali....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…