Kwanini Kaunda Suti lisiwe vazi la taifa?

Kwanini Kaunda Suti lisiwe vazi la taifa?

Jesuitdon

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Posts
3,153
Reaction score
2,673
Kwanini Kaunda Suti lisiwe vazi la taifa?

Ilikuwaje kuwaje vazi la kaunda suti kuanza kutumika tanzania?

Kwanini limekuwa maarufu kwa viongozi hasa wabunge?

Kwanini sehemu kama chuo cha CFR wanataka liwe vazi la wanachuo?

Kwanini kaunda suti itumiwe mabalozi wengi?

Kwanini rangi nyeusi na blue hupendwa sana?

Kwanini kaunda suti isiyo na kola ni maarufu nchi za asia?

Itoshe kusema Tanzania wafanye rasmi kaunda suti kuwa vazi la taifa
 
KWA NN KAUNDA SUTI LISIWE VAZI LA TAIFA?


ILIKUWAJE KUWAJE VAZI LA KAUNDA SUTI KUANZA KUTUMIKA TANZANIA?


KWA NINI LIMEKUWA MAARUFU KWA VIONGOZI HASA WABUNGE?

KWA NN SEHEMU KAMA CHUO CHA CFR WANATAKA LIWE VAZI LA WANACHUO?

KWA NINI KAUNDA SUTI ITUMIWE MABALOZI WENGI?

KWA NN RANGI NYEUSI NA BLUE HUPENDWA SANA?


KWA NN KAUNDA SUTI ISIYO NA KOLA NI MAARUFU NCHI ZA ASIA?


ITOSHE KUSEMA TANZANIA WAFANYE RASMI KAUNDA SUTI KUWA VAZI LA TAIFA
Vazi la taifa juwa linakuja automatic ,siyo kitu cha kukaa kupanga
Huo mchakato ulipigwa chini kitambo sana
Kama unaweza kubuni vazi na linakakubalika na rika zoote, hapo sawa
 
Unajua kwa nini inaitwa Kaunda suti?, Ni ngua aliyokuwa akipenda kuvaa Raisi Kaunda wa Zambia

Kwa hiyo tupore vazi Lao wazambia tulifanye letu la Taifa?
 
Vazi la taifa ni ujinga kama ujinga mwingine.

Wazeni viwanda vikubwa
Kurutubusha uranium/nuclear ili kupata nishati ya uhakika wazeni mambo makubwa
 
Kaunda Suti imeitwa hivyo hapa nchini kutokana nanvazi hilo kupendwa sana na aliekuwa Rais wa kwanza wa Zambia hayati Keneth Kaunda…Kaunda mwenyewe vazi hilo aliiga kutoka China ambako ndiko walikombadilisha hata Nyerere alipozuru 1965 akaamua kuachana kabisa na suti za kimagharibi likiaminiwa la ufujaji kwa mtu mtu mmoja kuvaa nguo kadhaa kwa wakati mmoja wakati wengine hawana nguo
 
Yaani unataka utuchoshe kwa hiyo Miswali yako. Kila mtu ashinde mechi zake
 
Wewe subiri Mwigulu aone hii. Atahakikisha anafanya ushawishi liwe vazi kweli la taifa halafu ataweka tozo ya kaunda suti. Kipindi hicho yeye kavaa iliyoshonwa na bendera ya TZ.
 
Kwasababu Kenneth kaunda siyo mtanzania
 
Tuna mambo mengi ya kufanya ,kwanza hilo taifa lipo uchi mpka tulitafutie vazi? ,ww nakufaaisha na padri aliesema tuchange pesa kujenga ukuta kuzunguka makabuli ,muumini mmoja akauliza kuna mait iliozikwa ikarotoka?
 
... na madereva wa serikali ndani ya ma V8 yao. Tusipangiane namna ya kuvaa. By the way hilo vazi la Taifa linawahusu wanaume tu kwamba wavae Kaunda suti? Wanawake je?
Hujawahi ziona za ma shee au?
 
na hili jua la dar upate vile vitambaa vya satini kiwe cheusi kama uko ndani ricecooker
 
Back
Top Bottom