Kwanini Kenya Airways inaruka kwenda USA, wakati kuna KLM?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Nijuavyo mimi Kenya airways inamilikiwa na KLM ya Uholanzi kwa asilima kubwa tu, na KLM wanasafirisha abiria ktk Kenya kwenda USA kupitia kwao Uholanzi kwa miaka mingi tu, sasa hili la Kenya Airways kuanzisha safari za Kenya kwenda USA limekaaje? Vipi kuhusu KLM? Wanashindana au wanashirikiana? Kwa maana hata ofisi ni moja kwa mfano Ofisi ya KLM/Kenya airways ni hiyo hiyo, ...
 
7.8% tu ndio hisa za KQ ambazo KLM inamiliki, asilimia hizo zingine zinamilikiwa na wakenya, serikali/banks za Kenya. Mbona unapenda sana kujiabisha mleta mada? KLM ni 'strategic partner' tu, wa kimataifa, kwa KQ.
 
Watetea wastaafu wanaoenda kulipwa asilimia 25% ni upumbavu kwa serikali.

Tumia mda vizuri
 
DAR STOCK EXCHANGE TUNA HISA KWENYE KQ
MNABISHAAAAAA????
 
7.8% tu ndio hisa za KQ ambazo KLM inamiliki, asilimia hizo zingine zinamilikiwa na wakenya, serikali/banks za Kenya. Mbona unapenda sana kujiabisha mleta mada? KLM ni 'strategic partner' tu, wa kimataifa, kwa KQ.


Nimeshafiri na KLM/ Kenya airways, hivyo najua ninachokiongelea, kwa mfano kama ukitoka USA na umenunua tiketi ya KLM ya Uholanzi ukifika Uholanzi unapanda Kenya Airways mpaka Dar/KIA hata kama haukununua tiketi ya Kenya Airways, hivyo ina maana wanashirikiana na ndo maana nikauliza itakuwaje hapo, kama Kenya airways nao wanaruka kwenye USA tokea Kenya? Kwa maana ukienda kwa mfano Dar kununua tiketi wote wako ofisi moja, sasa Je watatenganisha vipi?
 
Watetea wastaafu wanaoenda kulipwa asilimia 25% ni upumbavu kwa serikali.

Tumia mda vizuri


Inahusiana nini na mada husika? Kati ya mimi na wewe nani anapaswa kutumia muda wake vizuri kama hata hauwezi kusoma na kuelea maudhui ya Mada?
 
Nimekupa fact ya hisa za KQ ambazo KLM inamiliki, 7.8% tu. Huo ushirikiano mwingine hauhusiani kwa njia yeyote na hisa za KQ wanazomiliki KLM. Kama ni kweli kwamba huwa unasafiri sana(frequent flier) ungekuwa unafahamu kuhusu huduma hiyo kwenye mkataba wa SKY TEAM, wa mashirika ya ndege... na kwamba KQ na KLM wote ni members wa Sky Team. Baadhi ya members wengine, China Airlines, Delta, Korean, Saudia, China Eastern, China Southern, Czech Airlines n.k. KQ inacheza kwenye ligi za juu jombaa.
 

both KLM and KQ are members of flying blue, the sky team. They share the ground staff at Schipho. but one partner has a tendency of over booking. it happened to me twice. this is why I'm no longer interested to fly with dem.
 
both KLM and KQ are members of flying blue, the sky team. They share the ground staff at Schipho. but one partner has a tendency of over booking. it happened to me twice. this is why I'm no longer interested to fly with dem.
Who asked you? [emoji15] Anyway, you can always choose to fly with ATCL from Amsterdam. Hahaha! [emoji38]
 
macho zenye zimezoea propaganda.. yakisoma ukweli huona uwongo... open ur eyes to the real world my friend!! a fish in a pond only knows the pond

Teh teh teh tihiii
it's not your fort, but a best of your knowledge and exposure.
 
ushaskia kitu inaitwa sky team we ngombe? smh...watz washamba yani....nashuku sana unaposema kuwa wewe ni frequent flyer ila hujui mambo yanavoendeshwa...wewe hata ndege sijui kama ushawahi kuiona kwa macho ispokuwa picha au video vya mitandaoni
 
mjinga alitaka watalii wanaotoka marekani wote wapitie uholanzi kwanza ndio waje afrika mashariki...sidhani kuwa hata hao KLM walio na stake ya 7% tu wanaweza kukubali ujinga huo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…