Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Nijuavyo mimi Kenya airways inamilikiwa na KLM ya Uholanzi kwa asilima kubwa tu, na KLM wanasafirisha abiria ktk Kenya kwenda USA kupitia kwao Uholanzi kwa miaka mingi tu, sasa hili la Kenya Airways kuanzisha safari za Kenya kwenda USA limekaaje? Vipi kuhusu KLM? Wanashindana au wanashirikiana? Kwa maana hata ofisi ni moja kwa mfano Ofisi ya KLM/Kenya airways ni hiyo hiyo, ...