jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
wenyewe hawapend
Itakuwa za kubeba wanajeshi na mizigo maana kama ndege za kijeshi juna mwaka marekani iliwapatia helcopter za mashambulizi wakati wamepeleka majeshi somalia. Na kuna wakati walichukua ndege za kirusi za mashambulizi. Nadhani hii ni version ya mizigo ambazo hata sisi tulinunua kwa mchina miaka flani kwa ajili ya jeshiView attachment 2248607
Kichwa cha habari cha husika!!
Hapana! Huu ulimwengu ni wa mikwara ili watu wakujue na wakuogopePia inawezekana ni mbinu ya kujifanya wana ndege za kizaman ili uingie kichwa kichwa ugongwe vizur
Pia inawezekana ni mbinu ya kujifanya wana ndege za kizaman ili uingie kichwa kichwa ugongwe vizur