Kwanini Kenya bado inamiliki warplane za kizamani hivi?

Kwanini Kenya bado inamiliki warplane za kizamani hivi?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,645
IMG_1727.jpg

Kichwa cha habari cha husika!!
 
View attachment 2248607
Kichwa cha habari cha husika!!
Itakuwa za kubeba wanajeshi na mizigo maana kama ndege za kijeshi juna mwaka marekani iliwapatia helcopter za mashambulizi wakati wamepeleka majeshi somalia. Na kuna wakati walichukua ndege za kirusi za mashambulizi. Nadhani hii ni version ya mizigo ambazo hata sisi tulinunua kwa mchina miaka flani kwa ajili ya jeshi
 
Pia inawezekana ni mbinu ya kujifanya wana ndege za kizaman ili uingie kichwa kichwa ugongwe vizur
 
Pia inawezekana ni mbinu ya kujifanya wana ndege za kizaman ili uingie kichwa kichwa ugongwe vizur

Sizani tunaishi ulimwengu wa propaganda !!…
Hamna nchi inataka ionekane dhaifu
 
Back
Top Bottom