Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakenya ndo watu wapumbavu zaidi east afrika, mara zote mnashindwa kuisimamia misimamo yenu dhidi yetu sababu hamna ubavu, laiti mngelikua mnaamini katika diplomasia nadhani mngelikua mnaitumia kumaliza tatizo kabla hamjaanzisha mgogoro.Watu smart kichwani huwa wanaangalia maslahi ya muda mrefu zaidi badala ya mbwembwe na majivuno.
Iangalie Korea ya Kaskazini na Kusini. Kusini wao waliamua kujichanganya na ulimwengu mkubwa, Kaskazini wakaamua kujifungia na misimamo yao. Mwaka 1945 zote zilikuwa ni nchi moja, mwaka 2021 Korea Kaskazini bado wanaomba misaada ya chakula na Raia wanaikimbia nchi yao.
Nani kakufunza shengi wewe mwanasisiemu?Vipi leo ata waachilia au ata reinstate curfew? Na vile maambukizi saiv yameanza ku skyrocket wakati anaanza kufukuzia loan ya chanjo..hehe na yule mganga bazenga amepima ako positive...
Uhunye cheza kama wewe...fungia hizi ng'ombe hadi September.
Jibu ni rahisi sana, Kenya ni failed stateNafanya utafiti hapa.
Tz walishawahi kuamua kuchoma vifaranga kutoka Kenya. Japo Wakenya walipiga kelele lakin haikusaidia. Pia ishu ya ngo'mbe ilikua the same. Kuna maziwa na juzi juz ishu ya kuzuia shirika lao la ndege. Japo sirikali ya kenya ilipiga kelele lakini bado msimamo wa bongo ulikua ule ule.
Sasa nauliza wwnzetu na ukubwa wa uchumi wao wa kwenye makaratasi mbona hawanaga msimamo?
Hili la mahindi wamebana wameachia wenyewe, walikamata watu wetu wa boda boda wiki moja wameachia, walizuia wa Bongo wasiende kwao wakaachia na mengi mengineyo.
Kwa nini kenya hatuna msimamo kama wenzetu wa Bongo?
Au ndo zile tunasema akili za kishikiwa. Great national lina kila aina ya majigambo na majivuno mnafeli wapi?
I invent it...karibu 46 tujibambe...Nani kakufunza shengi wewe mwanasisiemu?
Uko hapo Ongwaro na unabonga mbaya? Tutakutoa mbio.I invent it...karibu 46 tujibambe...
Jaba kwa mnonyi...
after all maisha yetu ni yale yale tunayajua.
Hapa sina ubishi. Maana hata mtu kwa mtu ondolea mbali nchi kwa nchi smatrness ina determain future. So nakubali ila usijiaminishe sana kwamba ni smart than others maana siku moja utajikuta umekua outshined na unayemdharau.
The engineer bonoko has missed me.. 😛😛 Nilikwambia mimi ni nyangau proper from muchatha.. I dont hold back or second guess my arguments..politeness ni ya watz, i dont bring pillows to a gun fight. Kama uliumia meza panadolWatanzania wengi humu hujifanya Wakenya wakitaka kuiponda Kenya. Kuna mmoja alijiita Mkikuyu- Akili timamu - sijui kama bado yupo ila alijifanya Mkenya kwa muda mrefu sana. 🤣 🤣 🤣
Mnachekesha sana. Mwenzenu wana dhahabu, Gas, Chuma, kilimo cha mahindi. Wana kila kitu. Na bombA la mafuta tena. Tren ya Umeme kwa pesa za nchi.....Hiyo misimamo yenu msiyoshirikisha ubongo ndio inasababisha mjikute mnatutetegemea hata kwenye huduma za hospitali na kuacha majengo ya Muhimbili. Siku zote ukiwa na msimamo wowote, lazima uambatanishe na matumizi ya ubongo na kusklizia wenzako wanasema nini, ulimwengu unasema nini, wataalam wanasema nini, sio kila kitu unakaidi na kushupaza shingo.
Kenya leo hii inaongoza ukanda huu kiuchumi, kijeshi, kielimu, miundo mbinu na kila kitu kwa sababu tunaheshimu wataalam wetu na kuwapa kipaombele kila wanaposhauri.
Ila umasikini wa kutupwa is your middle name, hamuoni aibu Tanzania,[emoji848] alie walaani itakua alikufa.Mnachekesha sana. Mwenzenu wana dhahabu, Gas, Chuma, kilimo cha mahindi. Wana kila kitu. Na bombA la mafuta tena. Tren ya Umeme kwa pesa za nchi.....
Umeambiwa au unaona? Karibu Tanzania uone mmajabu. Kuanzia hapo kwako kwenda sehemu yeyote ya Tanzania utatumia lani. Kaskzini mgaribi mashariki kusin nk.... Ni nini ambacho Kenya kipo. Akipo bongo.Ila umasikini wa kutupwa is your middle name, hamuoni aibu Tanzania,[emoji848] alie walaani itakua alikufa.
Maswali yako ni mazuri lkn yanakosa maana kwa wewe kujiita mkunya wakati wewe mtanzania. Wacha hizo weweNafanya utafiti hapa.
Tz walishawahi kuamua kuchoma vifaranga kutoka Kenya. Japo Wakenya walipiga kelele lakin haikusaidia. Pia ishu ya ngo'mbe ilikua the same. Kuna maziwa na juzi juz ishu ya kuzuia shirika lao la ndege. Japo sirikali ya kenya ilipiga kelele lakini bado msimamo wa bongo ulikua ule ule.
Sasa nauliza wwnzetu na ukubwa wa uchumi wao wa kwenye makaratasi mbona hawanaga msimamo?
Hili la mahindi wamebana wameachia wenyewe, walikamata watu wetu wa boda boda wiki moja wameachia, walizuia wa Bongo wasiende kwao wakaachia na mengi mengineyo.
Kwa nini kenya hatuna msimamo kama wenzetu wa Bongo?
Au ndo zile tunasema akili za kishikiwa. Great national lina kila aina ya majigambo na majivuno mnafeli wapi?