Kwanini Kenya wamefuta Mitihani ya Taifa kwenye Mtaala mpya?

Kwanini Kenya wamefuta Mitihani ya Taifa kwenye Mtaala mpya?

Acha kupoteza muda wako ukijaza pumba zako kwenye servers. CBC haijaanza jana na kwa muda wote huo wa uwepo wake hakuna uzi wowote umeanzishwa humu na wakenya. Nyinyi wenyewe ndio mmeibuka na taarifa zenyewe humu na nyinyi wenyewe tu ndio mnaisifia. Huku mkiponda vyenu, yaani mnajitekenya na kucheka wenyewe kama machizi.
Hapo ndio inaonyesha hao watanzania wenye kuisifia hawajui lolote kuhusu faida za huo mfumo, Sasa wale wakenya wanaojaribu kusema kwamba huo mfumo ni mzuri ndio tunataka wathibitishe kwa ushahidi uzuri wake kwa kuonyesha mafanikio yaliyoletwa na huo mfumo hapo Kenya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ebu soma huu uzi wa Mtanzania mwenzako Bwana Joto. Labda utaelewa wenzako wanachomaanisha wakisema elimu ya Kenya ina hadhi kuliko ya Bongo.

Tunahitaji ushahidi sio kuandika lolote toka kichwani, hapa duniani shida sio kuandika, kila mtu yupo huru kusema lile analodhani ni sawa kwake, tatizo ni kuthibitisha kile anachokisema, hapo ndio tunapotofautiana, duniani Kuna wajinga wengi kuliko smart people, kumbuka ili uwe mjinga huitaji kufanya lolote lile, lakini ili binadamu awe "smart", lazima afanye juhudi kubwa Sana, wengi hawapendi kujishughulisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ebu soma huu uzi wa Mtanzania mwenzako Bwana Joto. Labda utaelewa wenzako wanachomaanisha wakisema elimu ya Kenya ina hadhi kuliko ya Bongo.

Sasa mbona hao vijana walisema US na China ambako wote mnasifia Kuna Elimu Bora, tatizo la Elimu ya Tanzania hapa linakujaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha ni yale yale uwe T.O uwe na first class, bila connection joho ni leso tu

Watu wa kukaririshwa kwenye mitihani ndio hao hutegemea hizo connections, na ndio kitu tunaondokana nacho kwenye mtaala wetu huu, unasomea taaluma inayokuhusu, uipendayo tangu ukiwa mdogo, matokeo yako tangu elimu ya msingi ndio yanatumika kujua nini utakachosomea maana tunayadunduliza daraja kwa daraja, kiasi kwamba ukimaliza shule umeiva na unao utashi wa kutosha.

Jameni sijui tulichelewa wapi kulifanya hili, natamani pangekua na kitufe cha kubonyeza turudishe maisha nyuma nijikute mdogo tena nasoma upya ila kwenye mtaala huu, mbona Kenya ingekua mbali sana, sasa hii faida yake ni labda baada ya miaka kumi hivi ndio tutaanza kuona kizazi chake kinaingia sokoni.
 
🤣🤣🤣

Ebu soma huu uzi wa Mtanzania mwenzako Bwana Joto. Labda utaelewa wenzako wanachomaanisha wakisema elimu ya Kenya ina hadhi kuliko ya Bongo.

screenshot_20161217-173410-jpg.2089586
 
Hili ndio tatizo lenu wakenya, kujisifia hovyo bila kuwa na vigezo vyovyote;
1)Kenya imeendelea kuwa na tatizo la unemployment rate kubwa kuliko nchi zote za ukanda huu
2)Kenya imeendelea kuwa na very poor civil engineers katika ukanda huu na Africa kwa ujumla, majumba yanayoporomoka Kenya kwa mwaka ni sawa au kuzidi Nyumba zote zinazoporomoka Africa Nzima
3)Kenya imeshindwa kupambana na tatizo la ukame miaka yote tangu 1963
4)Elimu ya Kenya imeshindwa kabisa kupambana na ukabila
5)Tatizo la maji ni sugu Kenya
6)Rushwa imekita mizizi Kenya

Elimu nzuri ni Ile inayoiwezesha jamii husika kutatua matatizo yake, sio kukimbilia nchi za nje kufanya kazi ili kutuma pesa nyumbani, huo ubora wa Elimu ya Kenya unaonekana wapi?
Kwani yote hayo uliyotaja Tanzania hayapo ?

Tofauti ni kwamba Kenya mtu Yuko free kuyataja hayo uliyoandika na Tanzania thubutu kuyataja
 
Acha ujinga wako mbona vyuoni Hakuna mitihani ya taifa. Tunafanya assessment za Mara kwa mara
Jinga wewe, Sasa Kama inatumika vyuoni na bado tunahisi bado Elimu haina ufanisi, huo mtaala unatofauti gani na huo wa vyuoni?
 
Kwani yote hayo uliyotaja Tanzania hayapo ?

Tofauti ni kwamba Kenya mtu Yuko free kuyataja hayo uliyoandika na Tanzania thubutu kuyataja
Tanzania Kuna ukabila?, Tanzania majumba yanadondoka Kama ember?, Tanzania tunashida ya rushwa Kama ilivyo Kenya?, Tanzania Kuna ukame na shida ya chakula?.

Huu upumbavu wenu wa kujiliwaza kwamba Kenya ipo free kusema ni kujiliwaza baada ya kushindwa kushughulikia matatizo yenu, kumbuka Tanzania imeizidi Kenya kwenye demokrasia.
 
Jinga wewe, Sasa Kama inatumika vyuoni na bado tunahisi bado Elimu haina ufanisi, huo mtaala unatofauti gani na huo wa vyuoni?
Kumbe unakili elimu yenu haina ufanisi, so what next shwaini wewe
 
Tunaomba mtusaidie, Kenya wamerejea mfumo wa nchi gani ambao wameona umefanikiwa hapa duniani, au Ndio kwanza wameugundua hapo Kenya?, Kama ni ugunduzi wao, basi tunahitaji muda wa kufanyia majaribio Kama kweli ni Bora kuliko huu wa mitihani.
ipo wazi we ni product ya elimu duni.
 
Mkuu hoja iko chini sana.

Unasema mtoto kwa kuaplai kwenye maisha???

Are you serious??

Mwalimu atamkuta wapi huyo mtoto ili ampime kama anaweza kuaplai noleji aliyoipata shuleni??
Do you even think? sasa ubongo unao wa kazi gani kwa maswali ya kijinga kiasi hiki?
 
Kenya Mwaka jana mwanzoni au Mwaka juzi walizindua mtaala wao mpya wa CBC yaani Competetive Based curriculum.

Huu mtaala wao mpya mtoto anapimwa kwa uwezo alio nao na si kwa uwezo wake wa kukariri na kuja kujibu mtihani.Kipaji binafisi cha mtoto ndo kinapimwa, hakuna kushindanisha mashule tena.

Kingine ni kwamba kwenye mtaala huu hakutakuwa na kitu kinaitwa mitihani ya Taifa ya kushindanisha wanafunzi.

Kwenye Mtaala huu wanafunzi watapimwa uwezo wao na walimu wao kwa vigezo vilivyo wekwa.

Sisi huku tunaabudu mashindano ya Div 1 sujui 10 bora na kadhalika, tunaabudu wa kwanza na Wa mwisho ilihali tukijua fika tuna mitala ya ajabu balaa hii mitala ndo unakuta mtoto yuko Secondary ila hajui kusoma wala kuandika na amefaulu

Ndo maana hizi 10 tena sijui huwezi zikuta mtaani zikifanya mambo ya kitop 10.

Siku tukiwa na mitaala mipya na kufuta mitihani ya Kitaifa ndo hapo ubora wa elimu utakapo onekana.

Kenya sio wajinga kuondokana na hii biashara ya mitihani ya Taifa wamefanya utafiti wakaona uhuni na usanii wa mashule.

Jiulize hizo 10 tena nje ya Darasana kuna kitu zinaweza fanya? Top tena wana exceptional tofauti na hii ya kuwa wamesolve Past paper mwaka mzima na wanaingia wanakutana na maswali yale yale?
Nilitamani na Tz tujiongeze. Ila inavyoonekana wahusika wanajua, sema sio kipaumbele chao.

Wanavipaumbele v2.
1. Kupata mshahara
2. Kuendeleza ukoloni
 
Japo sio kila jambo ni la kuigwa, hili linastahili kuigwa.

Tunahitaji elimu ambayo ni ya vitendo zaidi kulingana na mahitaji halisi ya jamii.
Ndo maana kwa sasa huwezi kushangaa kuona mtu kamaliza shahada ya Maabara lakini akarudi nyuma kusoma short course ya refrigeration.

Sahihi sana.

Elimu hii inakufanya ujue kusoma na kuandika tu. Hata yale ya msingi ya kusikiliza na kuongea yamefungiwa.

Bado utashi wa kutenda, kubuni, kushirikiana, n.k.

Sisi bado ni watumwa wa serikali wakati serikali ilitakiwa itutumikie sisi, wao wanajiita watawala na sisi watawaliwa. Bado unasoma uajiriwe na mkoloni serikali ma mifumo yote na cozi zote zimekaa kwaajili ya mahitaji yao.

Isitoshe kusema wao wanachukua cream wale exceptionals ambao kwa vyvyte lazma wapatikane.
Ukijikuta umetoboa sekta binafsi au binafsi ujue ulibahatika kuwa na malezi/makuzi mazuri.
 
Nadhani tafakari kwa kina hicho walichofanya kama kinaweza kutekelezeka. "Mtoto anapimwa kwa uwezo wake alionao na si kwa kukalili" je hii ni kwa shule za msingi na sekondari au ni kwa vyuo?
 
The Kenyan Competency based Curriculum was designed by Kenya Institute of Curriculum Development (2017) and has 5 levels which are:

1. Pre-primary Education (2 Years) i.e. Pre-Primary 1 and Pre-Primary 2 commonly known as PP1 and PP2.
SUBJECTS FOR PRE-PRIMARY (TWO YEARS)

-Language Activities
-Mathematical Activities
-Environmental Activities
-Psychomotor and Creative Activities
-Religious Education Activities

NB: Digital literacy and pertinent and contemporary issues will be integrated across all Subjects

2. Lower Primary (Grade 1 to Grade 3) and is expected to run for 3 years
SUBJECTS FOR LOWER PRIMARY: GRADE 1 TO GRADE 3 (THREE YEARS)

-Literacy
-Kiswahili Language Activities/Kenya Sign Language for learners who are deaf
-English Language Activities
-Indigenous Language Activities
-Mathematical Activities
-Environmental Activities
-Hygiene and Nutrition Activities
-Religious Education Activities
-Movement and Creative Activities
NB:
ICT will be a learning tool in all areas.
Pertinent and contemporary issues will be mainstreamed in all Subjects

3. Upper Primary (Grade 4 to Grade 6) and is expected to run for 3 years
-English
-Kiswahili or Kenya Sign Language (for learners who are deaf)
-Home Science
-Agriculture
-Science and Technology
-Mathematics
-Religious Education (CRE/IRE/HRE)
-Creative Arts
-Physical and Health Education
-Social Studies

Optional:

Foreign Languages (Arabic, French, German, Mandarin)
NB:

ICT will be cross cutting in all subjects .
-Pertinent and contemporary issues and life skills will be mainstreamed in all Subjects.
-A pastoral program of instruction will be conducted once a week.

4. Lower Secondary (Grade 7 to Grade 9) and is expected to run for 3 years
Core Subjects
-English
-Kiswahili or Kenyan Sign -Language for learners who are deaf
-Mathematics
-Integrated Science
-Health Education
-Pre-Technical and -Pre-Career Education
-Social Studies
-Religious Education – learners choose one of the following:
*Christian Religious Education
*Islamic Religious Education
*Hindu Religious Education
Business Studies 1
-Agriculture
-Life Skills Education
-Sports and Physical Education
Optional Subjects (Minimum 1, Maximum 2)

-Visual Arts
-Performing Arts
-Home Science
-Computer Science
-Foreign Languages:
-German
-French
-Mandarin
-Arabic
-Indigenous Languages
-Kenyan Sign Language
-NB: ICT will be a delivery tool for all Subjects

5.Senior School (Grade10 to Grade 12) and is expected to run for 3 years.
Subjects for Senior School are based on various pathways

Pathways after Lower Secondary
Core Subjects for all Students in Senior School
Community Service Learning
Physical Education
1. Arts and Sports Science Pathway

a. The Arts TrackCore subjects

(i) Legal and Ethical issues in Arts

(ii) Communication Skills

Optional Subjects The learner will be required to take one of the following subjects:

i. Performing Arts

(i) Music

(ii) Dance

(iii) Theatre and Elocution

ii Visual and Applied Arts

(i) Fine Art

(ii) Applied Art

(iii) Time Based Media

(iv) Crafts

b. Sports Science Track

Core subjects

(i) Human Physiology, Anatomy and Nutrition

(ii) Sports Ethics

Optional Subjects (Minimum 1, Maximum 2)

i. Ball Games

ii. Athletics

iii. Indoor Games

iv. Gymnastics

v. Water Sports

vi. Boxing

vii. Martial Arts

viii. Outdoor Pursuits

ix. Advanced Physical Education

2. The Social Sciences Pathway (Comprises of three tracks, learner to choose a minimum of 3 subjects and a maximum of 5 subjects)

a. Humanities
(i) History and Citizenship
(ii) Geography
(iii) Christian Religious Education
(iv) Islamic Religious Education
(v) Hindu Religious Education

b. Languages
(i) English Language
(ii) Literature in English
(iii) Lugha ya Kiswahili
(iv) Fasihi ya Kiswahili
(v) Kenyan Sign Language
(vi) Indigenous Languages
(vii) Arabic
(viii) French
(ix) German
(x) Mandarin

c. Business Studies
(i) Business studies
(ii) Mathematics

3. The Science, Technology, Engineering and Mathematics Pathway (Comprises of 4 Career Tracks)

a. Pure Sciences Track
b. Applied Sciences Track
c. Technical and Engineering Track
d. Career and Technology Studies (CTS) Track

Core subjects

(i) Community Service
(ii) Physical Education
(iii) ICT

Optional Subjects (Select 1 Subject):

i. Agriculture ii. Computer Science iii. Foods and Nutrition iv. Home Management

Optional Subjects (Minimum 3 Subjects):

i. Mathematics

ii. Physics

iii. Chemistry

iv. Biology

Optional Subjects (select one subject) Optional Subjects

Agricultural Technology (select one subject) Geosciences Technology
i. Garment
iii. Marine and Fisheries Technology Making and
iv. Aviation Technology Interior Design
ii. Leather Work
iii. Culinary Arts
iv. Hair Dressing
v. Wood Technology
vi. Electrical Technology
vii. Metal Technology
viii. Power Mechanics and Beauty
ix. Clothing Technology Therapy
x. Construction Technology
v. Plumbing and
xi. Media Technology Ceramics
Electronics Technology
vi. Welding and
Manufacturing Technology Fabrication
xiv. Mechatronic
vii. Tourism and Travel
viii. Air Conditioning and Refrigeration
ix. Animal Keeping
x. Exterior Design and Landscaping

xi. Building
Construction
xii. Photography

xiii. Graphic
Designing and Animation
xiv. Food and Beverage
xv. Motor Vehicle Mechanics
xvi. Carpentry and Joinery
xvii. Fire Fighting
viii. Metalwork
xix. Electricity
Land Surveying
Science LaboratoryTechnology
xxii. Electronics
xiii. PrintingTechnology
xiv. Crop Production
 
Wow, nice. Imekaa safi. Ntaisoma tena niichambue.

We are so thankful for you to share the contents with us.

I had thought of content a bit, any one can look at it here,
( Nini kifanyike kuboresha mtaala wa elimu )

Tena, tunashukuru. Imetuongezea jambo katika fikra zetu.
 
Back
Top Bottom