joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hapo ndio inaonyesha hao watanzania wenye kuisifia hawajui lolote kuhusu faida za huo mfumo, Sasa wale wakenya wanaojaribu kusema kwamba huo mfumo ni mzuri ndio tunataka wathibitishe kwa ushahidi uzuri wake kwa kuonyesha mafanikio yaliyoletwa na huo mfumo hapo Kenya.Acha kupoteza muda wako ukijaza pumba zako kwenye servers. CBC haijaanza jana na kwa muda wote huo wa uwepo wake hakuna uzi wowote umeanzishwa humu na wakenya. Nyinyi wenyewe ndio mmeibuka na taarifa zenyewe humu na nyinyi wenyewe tu ndio mnaisifia. Huku mkiponda vyenu, yaani mnajitekenya na kucheka wenyewe kama machizi.
Tunahitaji ushahidi sio kuandika lolote toka kichwani, hapa duniani shida sio kuandika, kila mtu yupo huru kusema lile analodhani ni sawa kwake, tatizo ni kuthibitisha kile anachokisema, hapo ndio tunapotofautiana, duniani Kuna wajinga wengi kuliko smart people, kumbuka ili uwe mjinga huitaji kufanya lolote lile, lakini ili binadamu awe "smart", lazima afanye juhudi kubwa Sana, wengi hawapendi kujishughulisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu soma huu uzi wa Mtanzania mwenzako Bwana Joto. Labda utaelewa wenzako wanachomaanisha wakisema elimu ya Kenya ina hadhi kuliko ya Bongo.
Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii...www.jamiiforums.com
Sasa mbona hao vijana walisema US na China ambako wote mnasifia Kuna Elimu Bora, tatizo la Elimu ya Tanzania hapa linakujaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu soma huu uzi wa Mtanzania mwenzako Bwana Joto. Labda utaelewa wenzako wanachomaanisha wakisema elimu ya Kenya ina hadhi kuliko ya Bongo.
Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii...www.jamiiforums.com
Maisha ni yale yale uwe T.O uwe na first class, bila connection joho ni leso tuNinachojiuliza, hiyo mitihani na wale top 10 huwa wanapewa nafasi ya kwanza kwenye ajira au inakuwaje?.
Maisha ni yale yale uwe T.O uwe na first class, bila connection joho ni leso tu
🤣🤣🤣
Ebu soma huu uzi wa Mtanzania mwenzako Bwana Joto. Labda utaelewa wenzako wanachomaanisha wakisema elimu ya Kenya ina hadhi kuliko ya Bongo.
Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii...www.jamiiforums.com
Top tena wana exceptional tofauti na hii ya kuwa wamesolve Past paper mwaka mzima na wanaingia wanakutana na maswali yale yale?
baada ya miaka kumi hivi ndio tutaanza kuona kizazi chake kinaingia sokoni.
Acha ujinga wako mbona vyuoni Hakuna mitihani ya taifa. Tunafanya assessment za Mara kwa maraWapi hiyo ilishawahi kutumika duniani ili tujaribu kupima ufanisi wake.
Kwani yote hayo uliyotaja Tanzania hayapo ?Hili ndio tatizo lenu wakenya, kujisifia hovyo bila kuwa na vigezo vyovyote;
1)Kenya imeendelea kuwa na tatizo la unemployment rate kubwa kuliko nchi zote za ukanda huu
2)Kenya imeendelea kuwa na very poor civil engineers katika ukanda huu na Africa kwa ujumla, majumba yanayoporomoka Kenya kwa mwaka ni sawa au kuzidi Nyumba zote zinazoporomoka Africa Nzima
3)Kenya imeshindwa kupambana na tatizo la ukame miaka yote tangu 1963
4)Elimu ya Kenya imeshindwa kabisa kupambana na ukabila
5)Tatizo la maji ni sugu Kenya
6)Rushwa imekita mizizi Kenya
Elimu nzuri ni Ile inayoiwezesha jamii husika kutatua matatizo yake, sio kukimbilia nchi za nje kufanya kazi ili kutuma pesa nyumbani, huo ubora wa Elimu ya Kenya unaonekana wapi?
Jinga wewe, Sasa Kama inatumika vyuoni na bado tunahisi bado Elimu haina ufanisi, huo mtaala unatofauti gani na huo wa vyuoni?Acha ujinga wako mbona vyuoni Hakuna mitihani ya taifa. Tunafanya assessment za Mara kwa mara
Tanzania Kuna ukabila?, Tanzania majumba yanadondoka Kama ember?, Tanzania tunashida ya rushwa Kama ilivyo Kenya?, Tanzania Kuna ukame na shida ya chakula?.Kwani yote hayo uliyotaja Tanzania hayapo ?
Tofauti ni kwamba Kenya mtu Yuko free kuyataja hayo uliyoandika na Tanzania thubutu kuyataja
Kumbe unakili elimu yenu haina ufanisi, so what next shwaini weweJinga wewe, Sasa Kama inatumika vyuoni na bado tunahisi bado Elimu haina ufanisi, huo mtaala unatofauti gani na huo wa vyuoni?
ipo wazi we ni product ya elimu duni.Tunaomba mtusaidie, Kenya wamerejea mfumo wa nchi gani ambao wameona umefanikiwa hapa duniani, au Ndio kwanza wameugundua hapo Kenya?, Kama ni ugunduzi wao, basi tunahitaji muda wa kufanyia majaribio Kama kweli ni Bora kuliko huu wa mitihani.
Do you even think? sasa ubongo unao wa kazi gani kwa maswali ya kijinga kiasi hiki?Mkuu hoja iko chini sana.
Unasema mtoto kwa kuaplai kwenye maisha???
Are you serious??
Mwalimu atamkuta wapi huyo mtoto ili ampime kama anaweza kuaplai noleji aliyoipata shuleni??
Nilitamani na Tz tujiongeze. Ila inavyoonekana wahusika wanajua, sema sio kipaumbele chao.Kenya Mwaka jana mwanzoni au Mwaka juzi walizindua mtaala wao mpya wa CBC yaani Competetive Based curriculum.
Huu mtaala wao mpya mtoto anapimwa kwa uwezo alio nao na si kwa uwezo wake wa kukariri na kuja kujibu mtihani.Kipaji binafisi cha mtoto ndo kinapimwa, hakuna kushindanisha mashule tena.
Kingine ni kwamba kwenye mtaala huu hakutakuwa na kitu kinaitwa mitihani ya Taifa ya kushindanisha wanafunzi.
Kwenye Mtaala huu wanafunzi watapimwa uwezo wao na walimu wao kwa vigezo vilivyo wekwa.
Sisi huku tunaabudu mashindano ya Div 1 sujui 10 bora na kadhalika, tunaabudu wa kwanza na Wa mwisho ilihali tukijua fika tuna mitala ya ajabu balaa hii mitala ndo unakuta mtoto yuko Secondary ila hajui kusoma wala kuandika na amefaulu
Ndo maana hizi 10 tena sijui huwezi zikuta mtaani zikifanya mambo ya kitop 10.
Siku tukiwa na mitaala mipya na kufuta mitihani ya Kitaifa ndo hapo ubora wa elimu utakapo onekana.
Kenya sio wajinga kuondokana na hii biashara ya mitihani ya Taifa wamefanya utafiti wakaona uhuni na usanii wa mashule.
Jiulize hizo 10 tena nje ya Darasana kuna kitu zinaweza fanya? Top tena wana exceptional tofauti na hii ya kuwa wamesolve Past paper mwaka mzima na wanaingia wanakutana na maswali yale yale?
Japo sio kila jambo ni la kuigwa, hili linastahili kuigwa.
Tunahitaji elimu ambayo ni ya vitendo zaidi kulingana na mahitaji halisi ya jamii.
Ndo maana kwa sasa huwezi kushangaa kuona mtu kamaliza shahada ya Maabara lakini akarudi nyuma kusoma short course ya refrigeration.
The Kenyan Competency based Curriculum was designed by Kenya Institute of Curriculum Development (2017) and has 5 levels which are:
1. Pre-primary Education (2 Years) i.e. Pre-Primary 1 and Pre-Primary 2 commonly known as PP1 and PP2.
SUBJECTS FOR PRE-PRIMARY (TWO YEARS)
-Language Activities
-Mathematical Activities
-Environmental Activities
-Psychomotor and Creative Activities
-Religious Education Activities
NB: Digital literacy and pertinent and contemporary issues will be integrated across all Subjects
2. Lower Primary (Grade 1 to Grade 3) and is expected to run for 3 years
SUBJECTS FOR LOWER PRIMARY: GRADE 1 TO GRADE 3 (THREE YEARS)
-Literacy
-Kiswahili Language Activities/Kenya Sign Language for learners who are deaf
-English Language Activities
-Indigenous Language Activities
-Mathematical Activities
-Environmental Activities
-Hygiene and Nutrition Activities
-Religious Education Activities
-Movement and Creative Activities
NB:
ICT will be a learning tool in all areas.
Pertinent and contemporary issues will be mainstreamed in all Subjects
3. Upper Primary (Grade 4 to Grade 6) and is expected to run for 3 years
-English
-Kiswahili or Kenya Sign Language (for learners who are deaf)
-Home Science
-Agriculture
-Science and Technology
-Mathematics
-Religious Education (CRE/IRE/HRE)
-Creative Arts
-Physical and Health Education
-Social Studies
Optional:
Foreign Languages (Arabic, French, German, Mandarin)
NB:
ICT will be cross cutting in all subjects .
-Pertinent and contemporary issues and life skills will be mainstreamed in all Subjects.
-A pastoral program of instruction will be conducted once a week.
4. Lower Secondary (Grade 7 to Grade 9) and is expected to run for 3 years
Core Subjects
-English
-Kiswahili or Kenyan Sign -Language for learners who are deaf
-Mathematics
-Integrated Science
-Health Education
-Pre-Technical and -Pre-Career Education
-Social Studies
-Religious Education – learners choose one of the following:
*Christian Religious Education
*Islamic Religious Education
*Hindu Religious Education
Business Studies 1
-Agriculture
-Life Skills Education
-Sports and Physical Education
Optional Subjects (Minimum 1, Maximum 2)
-Visual Arts
-Performing Arts
-Home Science
-Computer Science
-Foreign Languages:
-German
-French
-Mandarin
-Arabic
-Indigenous Languages
-Kenyan Sign Language
-NB: ICT will be a delivery tool for all Subjects
5.Senior School (Grade10 to Grade 12) and is expected to run for 3 years.
Subjects for Senior School are based on various pathways
Pathways after Lower Secondary
Core Subjects for all Students in Senior School
Community Service Learning
Physical Education
1. Arts and Sports Science Pathway
a. The Arts TrackCore subjects
(i) Legal and Ethical issues in Arts
(ii) Communication Skills
Optional Subjects The learner will be required to take one of the following subjects:
i. Performing Arts
(i) Music
(ii) Dance
(iii) Theatre and Elocution
ii Visual and Applied Arts
(i) Fine Art
(ii) Applied Art
(iii) Time Based Media
(iv) Crafts
b. Sports Science Track
Core subjects
(i) Human Physiology, Anatomy and Nutrition
(ii) Sports Ethics
Optional Subjects (Minimum 1, Maximum 2)
i. Ball Games
ii. Athletics
iii. Indoor Games
iv. Gymnastics
v. Water Sports
vi. Boxing
vii. Martial Arts
viii. Outdoor Pursuits
ix. Advanced Physical Education
2. The Social Sciences Pathway (Comprises of three tracks, learner to choose a minimum of 3 subjects and a maximum of 5 subjects)
a. Humanities
(i) History and Citizenship
(ii) Geography
(iii) Christian Religious Education
(iv) Islamic Religious Education
(v) Hindu Religious Education
b. Languages
(i) English Language
(ii) Literature in English
(iii) Lugha ya Kiswahili
(iv) Fasihi ya Kiswahili
(v) Kenyan Sign Language
(vi) Indigenous Languages
(vii) Arabic
(viii) French
(ix) German
(x) Mandarin
c. Business Studies
(i) Business studies
(ii) Mathematics
3. The Science, Technology, Engineering and Mathematics Pathway (Comprises of 4 Career Tracks)
a. Pure Sciences Track
b. Applied Sciences Track
c. Technical and Engineering Track
d. Career and Technology Studies (CTS) Track
Core subjects
(i) Community Service
(ii) Physical Education
(iii) ICT
Optional Subjects (Select 1 Subject):
i. Agriculture ii. Computer Science iii. Foods and Nutrition iv. Home Management
Optional Subjects (Minimum 3 Subjects):
i. Mathematics
ii. Physics
iii. Chemistry
iv. Biology
Optional Subjects (select one subject) Optional Subjects
Agricultural Technology (select one subject) Geosciences Technology
i. Garment
iii. Marine and Fisheries Technology Making and
iv. Aviation Technology Interior Design
ii. Leather Work
iii. Culinary Arts
iv. Hair Dressing
v. Wood Technology
vi. Electrical Technology
vii. Metal Technology
viii. Power Mechanics and Beauty
ix. Clothing Technology Therapy
x. Construction Technology
v. Plumbing and
xi. Media Technology Ceramics
Electronics Technology
vi. Welding and
Manufacturing Technology Fabrication
xiv. Mechatronic
vii. Tourism and Travel
viii. Air Conditioning and Refrigeration
ix. Animal Keeping
x. Exterior Design and Landscaping
xi. Building
Construction
xii. Photography
xiii. Graphic
Designing and Animation
xiv. Food and Beverage
xv. Motor Vehicle Mechanics
xvi. Carpentry and Joinery
xvii. Fire Fighting
viii. Metalwork
xix. Electricity
Land Surveying
Science LaboratoryTechnology
xxii. Electronics
xiii. PrintingTechnology
xiv. Crop Production