ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 530
Tanzania tunayo safari ndefu kama bado wengi wanayo akili za kibashite. Hatufiki mbali TANZANIA INAHITAJI ELIMU KULIKO KITU CHOCHOTE KILEHivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda
Turudi sasa kwa Hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele,wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropoka
Why Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm
Na uhusiano upo imara zaidi
Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
I second you Mr. Ferdinando Sucre.If Bwana X akitendewa ubaya akanyamaza then wooote wakitendewa ubaya ule ule wanapaswa kunyamaza eti tu kwa vile Bwana X alinyamaza?. Kuna tataizo kubwa kwa watanzania wa sasa. Somo la filosofia lianze kufundishwa kuanzia shule za msingi
Elimu ya nini ?Tanzania tunayo safari ndefu kama bado wengi wanayo akili za kibashite. Hatufiki mbali TANZANIA INAHITAJI ELIMU KULIKO KITU CHOCHOTE KILE
Wewe sifia tu eti Uganda hawalalamiki kisa huwajui akina Museveni...Museveni anaweza kumpa hata na ndege ya kwenda kuringishia kijijini kwake Lyabambagwe lakini kabla hajarefusha bichwa asome kilichompata Dr.John GarangHivi karibuni serikali ilikamata Ng'ombe 6000 kutoka Uganda walioingia nchini na kuwapiga mnada lakini Uganda wamenyamaza na wala hawalii na kama hio haitoshi Rais amekutana na Museveni mpakani na kufungua kituo kwa pamoja huku wakiwa na bashasha na Mh Rais atafanya ziara nchini Uganda
Turudi sasa kwa Hawa majirani wengine Kenya kupigiwa mnada Ng'ombe 1600 tu wanapiga makelele,wanalia na baadhi ya viongozi kuanza kuropoka
Why Kenya mbona Uganda ambao idadi ya Ng'ombe kubwa zaidi wameshikiliwa na wapo calm
Na uhusiano upo imara zaidi
Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
Kuna jambo limejificha hapo muda ukifika litafichukaKUVUNJIKA KWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.
Kiaje? Ungesema Kenya kujitoa EA. EA itavunjikaje wakati Kagame, M7, JPM na Nkurunziza wako pamoja? Acha propagandaKUVUNJIKA KWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.
Kiaje? Ungesema Kenya kujitoa EA. EA itavunjikaje wakati Kagame, M7, JPM na Nkurunziza wako pamoja? Acha propaganda