Kwanini Kenya wanalia mbona Uganda wamepigiwa mnada Ng'ombe 6000 hawalalakiki na Magufuli yupo Uganda saizi

Ya jumuiya. Yanamalizwa ki Jumuiya.
Kuku wa jirani yako ameingia kwenye banda lako.
Utamkamata na kwenda kumuuza au utamrudishia mwenyewe?
Kumalizwa kijumuia ndio Ku ignore sheria za nchi, unachekesha wewe.
Tz has a lot to loose tusipokuwa wakali na mipaka yetu. Wewe ni political affiliated so you don't see sense as long as its not from the political side you favour
 
Sizungumzii uchama.
Na hata hivyo haya maamuzi yanafanywa. Kwa maslahi ya watu wachache.
Tatizo si ng'ombe wa Kenya kuingia Tanzania.
Kuna tatizo zaidi ya Hilo.
 
SASA KILA NG'OMBE WA NCHI JIRANI AKIINGIA KWAKO UNAPIGA MNADA.
WATAINGIA WA RWANDA UTAPIGA MNADA, WA BURUNDI MNADA, WA UGANDA MNADA WA KENYA MNADA. UTAISHI VIPI NA MAJIRANI ZAKO.
NINI MAANA YA JUMUIYA?
Kwa hiyo ulikua unashauri mifugo ya nchi jirani ikiingia nchi nyingine kinyume na utaratibu, sheria zipo wafanyeje?
 
Haya Hao Kenya Wakaingize Ng'ombe Zao Korea
Kenya wana Masai mara wanaweza kufanya malisho badala ya hifadhi baada ya maeneo ya kuizunguka kuporwa na Wakikuyu na Wakalenjin maana ndo wanachojaribu kutaka kufanya Serengeti na Loliondo. Kuleta vurugu za kukataa eneo la hifadhi lisiongezwe wakati Wamasai wa Tanzania wamesambaa nchi nzima.
 
Kwa hiyo ulikua unashauri mifugo ya nchi jirani ikiingia nchi nyingine kinyume na utaratibu, sheria zipo wafanyeje?
Irudishwe kwao.
Nimeuliza kuku wa jirani yako akiingia kwenye banda lako utamuuza au utamrudishia mwenyewe.?
 
Mifugo wa Kenya waliletwa hakuingia wenyewe na waziri alitoa taarifa mwenye mifugo ajitokeze hakuna aliyekuja
 
Watanzania sijui nini kimetulani sisi yaani jambo dogo watu wanafikiria mbali sana. Acheni siasa akuna nchi inayokubali uharibifu kisa jumuiya. Kila maamuzi yanayotelewaa pia n makosa, serikali ikkaa kimya pia ni kosa, ikchukua hatua pia ni kosa.

Hebu kaeni mkijua kukaa na kujifanya IQ zenu ni kubwa zaid ya hao wanaotoa maamuz mnakosea sanaa. Kuna mda tunawachoka ujue. Na mnavyodai watanzania tunahtaji elimu wewe unahc uliyonayo inatosha.

Kama umeichoka nchi mbona uciihame. Mimi kila uongozi ni mzur kwangu hata kama wakiongoza upande wa pili na inchi kuwa na aman km sasa kkubwaa mtu asikuzuie kufanya kazi
 
Si sawa. Ila Yule ni mwana Jumuiya mwenzako.
Ulishindwa kumwambia Hilo tatizo. Mkalimaliza?
Leo hii tunazuia wanyama.
Kesho wakiingia binadamu si watapigwa risasi?
Leo Jumuiya moja mnafanyiana hivi.
Mtakaa kweli kupanga mipanga ya maendeleo ya Jumuiya yenu?
I concur with you. Sorry, kama hutojali, badilisha hyo ID. Unajiita MJINGAMIMI, wakati unaandika point taaaamu kabisa. Very Gud. Be blessed.
 
Irudishwe kwao.
Nimeuliza kuku wa jirani yako akiingia kwenye banda lako utamuuza au utamrudishia mwenyewe.?
Mkuu hata kama ingekuwa ni ya watanzania wenyewe sheria yoyote ingechukuliwa.Acha kufanansha banda lako la kuku na mahali walipokuwa ng'ombe hizo. Acha siasa na maandiko kwenye sheria za nchi au utawala wa mtu binafsi
 
Hivi awamu zilizopita toka kwa mzee Mwinyi, mzee Mkapa, Kikwete, Kenya kulikuwa hakuna mifugo..?? Sikumbuki kuwahi kulisikia hili. Kama liliwahi kutokea, naomba mnijuze. Au walikuwa wanamalizana vipi..??

Mkizungumzia kufuata sheria, mbona hata kwenye uvunjaji wa nyumba za watu kuna wengine wengi wamevunjiwa na wengine president anaagiza wavunjaji wawe na "human face"...?? Au ndo sheria inavyotaka..?? Why not to Kimara residents..?? Kweli alishindwa kuwa na hiyo human face kwa mifugo ya Kenya..?? Au kuna kitu nyuma ya pazia kati ya Magu na Uhuru ambacho hatukijui..??

Nway, sitetei wakenya kuingiza mifugo yao kwetu ila action zetu kwao hao ng'ombe na vifaranga, halafu bado tunajinasibu kwamba sisi ni majirani wa kweli, ndo napata wasiwasi kuamini how strong this relationship is.
 
Tanzania. Inafata sheria zote?
 
UUNGWANA SI UNYONGE.
Ongea na kiongozi mwenzio. Bwana imekuwaje wananchi wako wameingiza mifugo nchini mwangu?
Mwenzio atakujibu. Labda wamekosea kwa bahati mbaya. Nitawakanya. Kesho wasirudie.
Na hata kama kuna uhalifu umetokea. Unaweza ukamwambia akufidie.
Ili umpe ng'ombe wake.
Naamini ili jambo lingeisha bila kuyumbisha uhusiano wetu.
 
Very true. Ni sawa na mbuzi wa jirani yko kuja kwenye banda la mbuzi wako na kukuta anakula majani ya mbuzi wako. Sijui utamchinja..??
 
Sheria ngapi Tanzania. Inazivunja.
Umeona hyo ya kupiga mnada ng'ombe ndo ya kufuatwa?
Rais angekuwa odinga yangetokea yote haya?
Nafikiri ubishi wako wote ungeisha kama Lowassa angesema Magufuli kafanya sawa.. na huo tunauita unafiki.

Kutwa kucha mnapiga kelele kuwa magu anavunja sheria, lakini kwa kuwa waliovunja sheria ni marafiki wa Lowassa basi ni sawa kabisa..

Hao walioingiza n'gombe ingekuwa hawajavunja sheria basi mahakama isingeamua kesi yao, mahakama haifanyi kazi bila sheria..

Tatizo la hao jamaa kuingiza mifugo Tanzania halijaanza leo, kama ni mfuatiliaji mzuri utafahamu, na zaidi ya yote miaka yote hiyo tulikuwa tunamalizana "kindugu".

Magufuli sio aliyeamrisha hiyo mifugo ipigwe mnada ni Mahakama.. walivunja sheria watahukumiwa kwa sheria..

Acheni unafiki.
 
yaani mkoloni katuwekea mipaka tumlindie ndo tunaitukuza kuliko kujenga mahusiano mema na jirani zetu ambao ni jamii moja na sisi, shame on us
 
UUNGWANA SI UNYONGE.
Ongea na kiongozi mwenzio. Bwana imekuwaje wananchi wako wameingiza mifugo nchini mwangu?
Mwenzio atakujibu. Labda wamekosea kwa bahati mbaya. Nitawakanya. Kesho wasirudie.
Na hata kama kuna uhalifu umetokea. Unaweza ukamwambia akufidie.
Ili umpe ng'ombe wake.
Naamini ili jambo lingeisha bila kuyumbisha uhusiano wetu.
Kwani ni mara ya kwanza kwa wafugaji wa KE kuingiza mifugo TZ, juzi kwenye taarifa ya habari walikiri kuwa hiyo siyo mara ya kwanza..

Sasa hiyo mifugo inaharibu mazingira na inapelekea wafugaji wa TZ kukosa malisho.. serikali imeamua kuchukua hatua kwa ajili ya maslahi ya nchi, mnakuja mnalalamika.

Ndio maana nawaita nyie ni wanafiki tu.
 
Nafikiri ubishi wako wote ungeisha kama Lowassa angesema Magufuli kafanya sawa.. na huo tunauita unafiki.

Kutwa kucha mnapiga kelele kuwa magu anavunja sheria, lakini kwa kuwa waliovunja sheria ni marafiki wa Lowassa basi ni sawa kabisa..

Hao walioingiza n'gombe ingekuwa hawajavunja sheria basi mahakama isingeamua kesi yao, mahakama haifanyi kazi bila sheria..

Tatizo la hao jamaa kuingiza mifugo Tanzania halijaanza leo, kama ni mfuatiliaji mzuri utafahamu, na zaidi ya yote miaka yote hiyo tulikuwa tunamalizana "kindugu".

Magufuli sio aliyeamrisha hiyo mifugo ipigwe mnada ni Mahakama.. walivunja sheria watahukumiwa kwa sheria..

Acheni unafiki.
Uwa sina akili za kushikiwa.
Lowasa sio baba angu. Wala neno lake sio sheria kwangu.
Naongea ninachokiona mimi si anachokiona lowasa.

Nazungumzia kujiita wana Afrika mashariki. Wakati tunashindwa kuishi kama Jumuiya ya Afrika mashariki.

Jiulize BAADA YA KUCHUKUA HYO HATUA.
UHURU AMEWAKANYA WANANCHI WAKE WASIINGIZE NG'OMBE TANZANIA?
UNAFIKIRI KUWAUZA NDO SULUHISHO LA TATIZO?
TUNAVUNJA AU TUNABOMOA?
 
Back
Top Bottom