Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
SASA KILA NG'OMBE WA NCHI JIRANI AKIINGIA KWAKO UNAPIGA MNADA.
WATAINGIA WA RWANDA UTAPIGA MNADA, WA BURUNDI MNADA, WA UGANDA MNADA WA KENYA MNADA. UTAISHI VIPI NA MAJIRANI ZAKO.
NINI MAANA YA JUMUIYA?
Ndo maana nikasema kuvunjika. Kwa jumuiya ya Afrika mashariki.Umesha sahau ile operesheni ya wahamiaji haramu? Nini ng'ombe hiyo ili husu binadamu. Niulize ipo sheria iliyo vunjwa kwa kupiga mnada hao ng'ombe? Kama ipo waende mahakamani. Wakati umefika kutafuta taratibu za kisheria kusaidia maridhiano kuhusu hawa wafugaji wanaovuka mipaka.
Kwahiyo unaona sawa mifugo ya Kenya kuingia hifadhi zetu Tanzania? Mbona waliacha Masai mara?Ndo maana nikasema kuvunjika. Kwa jumuiya ya Afrika mashariki.
Kenya ni kenya. Uganda ni Uganda. N.k.
Hatuwezi tukajiita jumuiya wakati hatuhishi kijumuiya..
Tukishindwa kuvumiliana kwenye Mambo madogo. Tutaweza kuvumiliana kwenye Mambo makubwa?
Si sawa. Ila Yule ni mwana Jumuiya mwenzako.Kwahiyo unaona sawa mifugo ya Kenya kuingia hifadhi zetu Tanzania? Mbona waliacha Masai mara?
Ndo maana nikasema kuvunjika. Kwa jumuiya ya Afrika mashariki.
Kenya ni kenya. Uganda ni Uganda. N.k.
Hatuwezi tukajiita jumuiya wakati hatuhishi kijumuiya..
Tukishindwa kuvumiliana kwenye Mambo madogo. Tutaweza kuvumiliana kwenye Mambo makubwa?
Si sawa. Ila Yule ni mwana Jumuiya mwenzako.Kwahiyo unaona sawa mifugo ya Kenya kuingia hifadhi zetu Tanzania? Mbona waliacha Masai mara?
SEMA tutanyooshana.Wewe huwajui waKenya in short they are not what they pretend to be. Ni sahihi kuwanyoosha
mbona hamkamatii ile mi ng'ombe ya rwanda yenye kutwa ina randa randa kwny ardhi ya TzElimu ya nini ?
Ng'ombe wameingizwa nchini kwa uvunjwaji wa sheria tena wameingizwa kwenye hifadhi ..mtu akivunja sheria za nchi ,sheria zinasemaje
Kwani serikali iliingia Kenya na kuwaiba au baada ya sheria kuvunjwa wakachukua hatua?
Ndio umejiona umeandika point mwenyewe ,genius eti Tanzania tuna safari ndefu sana
Peleka Upumbavu huwezi kuvunja sheria kwa kisingizio cha uwana Jumuiya! Pitia maana ya Jumuiya kuna taratibu za movement ya livestock na sheria zake au unataka Magufuli akae kimya mpaka vurugu zizuke kati ya Wakulins na Wafugaji?Si sawa. Ila Yule ni mwana Jumuiya mwenzako.
Ulishindwa kumwambia Hilo tatizo. Mkalimaliza?
Leo hii tunazuia wanyama.
Kesho wakiingia binadamu si watapigwa risasi?
Leo Jumuiya moja mnafanyiana hivi.
Mtakaa kweli kupanga mipanga ya maendeleo ya Jumuiya yenu?
Peleka Upumbavu huwezi kuvunja sheria kwa kisingizio cha uwana Jumuiya! Pitia maana ya Jumuiya kuna taratibu za movement ya livestock na sheria zake au unataka Magufuli akae kimya mpaka vurugu zizuke kati ya Wakulins na Wafugaji?
Kama huko kwao wanaheshimu sheria za hifadhi na ardhi ya watu binafsi kwann wasiheshimu kwetu? Nina uhakika huishi mipakani kujua maudhi ya hawa watu na mifugo yao. Namsifu sana Magufuli kwa hatua hii maana kidogo watu wangeanza kukatana mapanga.
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Hao ng'ombe wanaingizwa na raia wa hzo nchi wala sio mamlaka au taasisi za nchi husika..... Ujiran sio kuharbiana mazingira wakipigwa mnada wote watajifunza hawatoleta ng'ombe tena.....tutaanza kupiga mnada hadi wakimbiz....wakivuka boarder tu...tunawageuza watumwa watusaidie kwenye ujenzi wa mirad yetu mikubwa......watakaa kwa aman nchini mwao!! Shubaamit!!... Natania tu!!SASA KILA NG'OMBE WA NCHI JIRANI AKIINGIA KWAKO UNAPIGA MNADA.
WATAINGIA WA RWANDA UTAPIGA MNADA, WA BURUNDI MNADA, WA UGANDA MNADA WA KENYA MNADA. UTAISHI VIPI NA MAJIRANI ZAKO.
NINI MAANA YA JUMUIYA?
Thubutu, hao bavicha kwa kujikomba kwa wakenya hawajambo. Wako tayari kuwauzia nchi wakenya....Kenyans acheni kulialia na Bavicha mbona hamuwatetei Uganda ?
Sawa. Lakini kumbuka penye Moshi. Ndo penye moto. Baada tusije tukalalamika.Hao ng'ombe wanaingizwa na raia wa hzo nchi wala sio mamlaka au taasisi za nchi husika..... Ujiran sio kuharbiana mazingira wakipigwa mnada wote watajifunza hawatoleta ng'ombe tena.....tutaanza kupiga mnada hadi wakimbiz....wakivuka boarder tu...tunawageuza watumwa watusaidie kwenye ujenzi wa mirad yetu mikubwa......watakaa kwa aman nchini mwao!! Shubaamit!!... Natania tu!!
Mkuu unaingiza mifugo nyumbani kwa jirani yako wanaharibu garden yake kisha yule jamaa anakamata mifugo yako anaipeleka mahakamani ambako sheria inasema itaifishwe hapo huyo jirani yako atakuwa kakutendea ubaya?If Bwana X akitendewa ubaya akanyamaza then wooote wakitendewa ubaya ule ule wanapaswa kunyamaza eti tu kwa vile Bwana X alinyamaza?. Kuna tataizo kubwa kwa watanzania wa sasa. Somo la filosofia lianze kufundishwa kuanzia shule za msingi
Jumuiya maana yake ni kuingiza ng'ombe, mbuzi, Kuku, watu mahali popote pale unapojifeel. Bila ya kuzingatia mipaka, sheria, hifadhi za mahala husika.SASA KILA NG'OMBE WA NCHI JIRANI AKIINGIA KWAKO UNAPIGA MNADA.
WATAINGIA WA RWANDA UTAPIGA MNADA, WA BURUNDI MNADA, WA UGANDA MNADA WA KENYA MNADA. UTAISHI VIPI NA MAJIRANI ZAKO.
NINI MAANA YA JUMUIYA?
Ya jumuiya. Yanamalizwa ki Jumuiya.Jumuiya maana yake ni kuingiza ng'ombe, mbuzi, Kuku, watu mahali popote pale unapojifeel. Bila ya kuzingatia mipaka, sheria, hifadhi za mahala husika.
unajua kaka tz kuna viroba wengi tuu waelimisheElimu ya nini ?
Ng'ombe wameingizwa nchini kwa uvunjwaji wa sheria tena wameingizwa kwenye hifadhi ..mtu akivunja sheria za nchi ,sheria zinasemaje
Kwani serikali iliingia Kenya na kuwaiba au baada ya sheria kuvunjwa wakachukua hatua?
Ndio umejiona umeandika point mwenyewe ,genius eti Tanzania tuna safari ndefu sana
So one law breaking sanctions another law breaking! We ni mburula wa mwisho..so u literally crying for disorderly Tanzania! U will die not seeing that! Bullocks [emoji115] [emoji23]SHERIA NGAPI TANZANIA. INAZIVUNJA.
UMEONA HYO YA KUPIGA MNADA NG'OMBE NDO YA KUFUATWA?
RAIS ANGEKUWA ODINGA YANGETOKEA YOTE HAYA?