Kwanini Kenya wanalia mbona Uganda wamepigiwa mnada Ng'ombe 6000 hawalalakiki na Magufuli yupo Uganda saizi

Sawa. Lakini kumbuka penye Moshi. Ndo penye moto. Baada tusije tukalalamika.

Sioni maendeleo ya Jumuiya ya Afrika mashariki.
Nafikiri tungejitoa. Ili kila mtu aishi kivyake.

wee hujui jumuiya ilikuwa ni ile ya kwanza. hii ni uzushi tu. kama unakumbuka wakenya walichofanya wakati wa mchakato wa bomba la mafuta walitupiga vita mpaka walikuwa wanatuma mamluki. uzuri tuliwakamata wakakaa selo mpaka wale delegates ya Uganda ilipomaliza kazi. maana walijichomeka kwenye delegate ya Uganda.
 
hiyo ingekuwa sawa kwa Zambia au Kongo au hata Malawi, lkn si Kenya. mwaka 2007 walijipanga kuja kufanya ambush Moshi kuokoa majambazi wenzao. thanks to our intelligence system. kilichowatokea hawata kisahau.
 
Kenya maisha yatazidi kuwa magumu. Maana serikali itaongeza kodi kufidia gharama za uchaguzis (3).
 
Wewe beberu tu.....kichwa chako kimevimba na mavi tu....logic gani unatumia? Ndiyo maana Dr Mwakyembe amewadharau sana maTz kwenye hoja mitandaoni akasema afadhali Kenyans.
 
Ya jumuiya. Yanamalizwa ki Jumuiya.
Kuku wa jirani yako ameingia kwenye banda lako.
Utamkamata na kwenda kumuuza au utamrudishia mwenyewe?
Mfano wako umenichekesha..

Cha msingi tujiulize , je Tanzania imekiuka sheria yoyote?

Kama hapana, je ni makosa kwa nchi kufuata sheria ilizojiwekea?
 
hiyo ingekuwa sawa kwa Zambia au Kongo au hata Malawi, lkn si Kenya. mwaka 2007 walijipanga kuja kufanya ambush Moshi kuokoa majambazi wenzao. thanks to our intelligence system. kilichowatokea hawata kisahau.
Eti Malawi ....ipi tena mupo nayo kwenye mugogolo wakufa na kupona kwasababu ya ziwa yawo?
 
Eti Malawi ....ipi tena mupo nayo kwenye mugogolo wakufa na kupona kwasababu ya ziwa yawo?

do you know reparian rights for reparian countries. that's why we relaxed because the lake Nyasa is safe.
 
do you know reparian rights for reparian countries. that's why we relaxed because the lake Nyasa is safe.
No l don't u do.....no wonder we are far distant from just ...even copied stuff.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…