Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #21
Kwa sababu hawana uchawa,utaifa kwanza yaani wanajielewa.
Ivi kenya hamna machawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hawana uchawa,utaifa kwanza yaani wanajielewa.
Aya ya mwisho imeharibu maana nzima ya andiko lako.Wametawaliwa na Uingereza na wana ustaarabu wa kizungu.
Tanganyika mwarabu alileta uswahili/unafki sehemu za pwani ambao umesambaa sehemu nyingi za nchi.
Kenya rais anapingwa na makamu , na jaji mkuu na hata ngumi zinapigwa, tanzania unapotezwa.
Kenya upuuzi wa Makonda asingekatiza mikoa miwili, kudanganya watu, ila Tanzania anazunguka kama mfalme .
Kwamba CHADEMA inakula bilion 2 za ruzuku kutoka CCM na CCM ndio inatoa ruzuku na siyo Serikali kwa kufuata kisemwacho kwenye Sheria ya Vyama Vya Siasa?Aya ya mwisho imeharibu maana nzima ya andiko lako.
Ni kama hufahamu wajibu wa vyama vya siasa hasa chama Tawala.
Ni kipi Makonda anakoksea?
Ineonekana umepanic na huelewi unachokisimamia wewe mwanasheria wa vikoba!Kwamba CHADEMA inakula bilion 2 za ruzuku kutoka CCM na CCM ndio inatoa ruzuku na siyo Serikali kwa kufuata kisemwacho kwenye Sheria ya Vyama Vya Siasa?
Kwamba , CCM inatoa bilioni 2 kutoka kwenye viwanja ilivyopora toka kwa watanzania kuwapa CHADEMA?
Mbona hajasema CCM wanapata Ruzuku bilioni 13 kwa mwaka ?
Kwamba Mahakama hazianyi kazi hivyo yeye hatambui katibaya JMT na anageuka kuwa Mahakama na kutoa hukumu jukwaani?
Kwamba anajua ELIEZER FELESHI ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Ndio Mshauri mkuu wa Serikali kisheria, anamponda na kumtukana na kudhalilisha kiti cha mshauri mkuu wa Serikali?
Kwamba kazi ya muenezi ndio hiyo anafanya, Kazi za Waziri mkuu, naibu waziri mkuu na waziri wa sheria ni ipi?
# Nakupa pole na mume atakayekuoa, you are very low dada!
Kakojoe ulale usiniulize vijimaswali mnavyotumiana kwenye groupa za chama pumbavu kabisa wewe usiyetaka kuelimika.Ineonekana umepanic na huelewi unachokisimamia wewe mwanasheria wa vikoba!
Nini kazi ya Chama Tawala!?
Sera za Chama Tawala zinasimamiwa na nani?
Nani ni mfuatiliaji wa sera za Chama?
Ni wapi amemtukana mwanasheria mkuu wa serikali?
If you accept to be my girl, i will teach how to say No, and your ignorance shall not prevail any more.
Unaonesha akili yako ilivyo ndogo, ndio maana huna mantiki zaidi ya matusi.Kakojoe ulale usiniulize vijimaswali mnavyotumiana kwenye groupa za chama pumbavu kabisa wewe usiyetaka kuelimika.
nimekwambia majukumu ya mwenezi ni yapi hujui.
nikakupa mfano huyo kazi yake kusikiliza kesi?
Kazi yake kugawa mitaji tena anasema amepewa na raisi?
Hizo hela amepewa na raisi ama mwenyekiti wa chama chake?
Tatizo lako una utapiamlo na kwashakoo kwa pamoja na thinking capacity ni ndogo sana hujui kutofautisha chama na seriakli.
hujui tofauti kati ya mwenyekiti wa CC na Raisi wa nchi!