Leta vithibitisho la sivyo zitakuwa propaganda tu....jamaa hana mvuto kibiashara plus ana mashabiki mbumbu watukanaji mitandaoniMKATABA M100 ya kwako laki saba, 99.3m wanachukua wazee wa fursa (watu wa kati) hii pia husababisha wasanii wanaojielewa kukacha matangazo hayo munayoyalilia