Kwanini Kiba hatumiki kwenye matangazo?

MKATABA M100 ya kwako laki saba, 99.3m wanachukua wazee wa fursa (watu wa kati) hii pia husababisha wasanii wanaojielewa kukacha matangazo hayo munayoyalilia
Leta vithibitisho la sivyo zitakuwa propaganda tu....jamaa hana mvuto kibiashara plus ana mashabiki mbumbu watukanaji mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…