Mbona hukufa?Mimi nakumbuka niliwahi kuanguka bafuni kabla sijaanza kuoga ila wakati huo nilikuwa naumwa kikohozi cha ajabu kbs.
Ubaya wa kuishi peke yako ndio huo nlikaanilipoteza fahamu kama nusu saa kilichonizindua ni maji nilikuwa nimefungulia kwny ndoo yalijaa yakamwagika na lile tundu la kutolea maji nilikuwa nmelilalia yakawa hayana pa kwenda ndio yalikuja kunizindua.
Chuma cha mjerumani hikiMbona hukufa?
Mimi nakumbuka niliwahi kuanguka bafuni kabla sijaanza kuoga ila wakati huo nilikuwa naumwa kikohozi cha ajabu kbs.
Ubaya wa kuishi peke yako ndio huo nlikaanilipoteza fahamu kama nusu saa kilichonizindua ni maji nilikuwa nimefungulia kwny ndoo yalijaa yakamwagika na lile tundu la kutolea maji nilikuwa nmelilalia yakawa hayana pa kwenda ndio yalikuja kunizindua.
Hili ndio tukio langu la mwisho kubwa kunusurika kifo,mengine mawili yalikuwa ya ajali.Daaah!
Mpaka Leo ingekuwa Kaburi lako tunafukua kupitisha Bomba la Mafuta toka Uganda
Poleni na Hongera kuepuka kufa kwa Muda
Vyoo vya kukaa navyo tunaambiwa vinachangia kwenye Kansa ya Njia ya haja kubwa kwa kuwa uchafu wote hauwezi kutoka wakati wa kuutoa!Watu watumie vyoo vya kukaa zaidi hii ni kwa mujibu wa prof, janabi.
Yeah, kukaa sio njia asili ya kutoa haja kubwa. Ile angle kati ya mlango na utumbo mkubwa hairuhusu mzigo wote kutoka.Vyoo vya kukaa navyo tunaambiwa vinachangia kwenye Kansa ya Njia ya haja kubwa kwa kuwa uchafu wote hauwezi kutoka wakati wa kuutoa!
Mkunjo unaojikunja kwenye choo cha kuchuchumaa hachi uchafu tumboni
Kuna video moja niliona inaonyesha jinsi ya kutumia choo cha kukaa ili ufungue njia vzrYeah, kukaa sio njia asili ya kutoa haja kubwa. Ile angle kati ya mlango na utumbo mkubwa hairuhusu mzigo wote kutoka.
Hata hivyo kama una choo cha kukaa unaweza kutatua hili tatizo kwa kuweka kitu kinachonyanyua miguu juu kama kigoda hivi.
Sababu ni kupiga nyeto bafuni zaidi uwapata wanaumeUkweli upo, kwasababu kuna mifano halisi,, ila inategemea na maji unayooga,, ni ya baridi sana, ya baridi au ya uvugu vugu,, ukianza na ya baridi sana, ni kweli mishipa itasinyaa, lakini kumbuka kuwa kiharusi huambatana sana na shinikizo la damu,, kwahiyo, shinikizo ni kubwa, mishipa imesinyaa ghafla, na ni mishipa midogo milaini, kwahiyo kuna uwezekano wa kupasuka,,