Kwanini kiharusi mara nyingi hutokea bafuni au chooni?

Kwanini kiharusi mara nyingi hutokea bafuni au chooni?

Hakuna uhusiano ILA ninachojua lazima kabla hujaingia chooni au bafuni usome Dua maana kule kuna Majini ya kiume na kike au masheitwani hivyo huweza kukukumba mda wowote. Mengine hutumwa mengine ndo home. Unatakiwa useme Allahuma inni audhubika minal khubuth walkhabaith. Tafsiri ni kuwa Ee mola nakuomba unikinge kutokana na masheitwani wanaume na wanawake. Na ukitoka pia uombe Dua ya kushkuru na kuomba msamaha. Ghufuranaka. Ee mola nisamehe.
Kweli kabisa shekh wangu, duaa muhimu.... unakuta mtu anaingia bafuni huku anaimba unategemea asipige mueleka kweli hapo.
 
Afya nikuoga maji ya moto au vuguvugu. Mwili wa binadamu nikama chupa ya chai ebu chukua chupa ya chai umwage chai alafu weka maji ya baridi Kitakachotokea ndivo kinavotokea kW binadamu. Asante
 
Back
Top Bottom