Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 25, 2011 #1 Hivi ni dawa gani ukinywa mara mbili unakufa? Ni nini kinacho sababisha ufe? Ufanyeje kama umekunywa na hukupona magonjwa yako?
Hivi ni dawa gani ukinywa mara mbili unakufa? Ni nini kinacho sababisha ufe? Ufanyeje kama umekunywa na hukupona magonjwa yako?
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,286 Reaction score 6,736 Oct 25, 2011 #2 mikela said: Hivi ni dawa gani ukinywa mara mbili unakufa? Ni nini kinacho sababisha ufe? Ufanyeje kama umekunywa na hukupona magonjwa yako? Click to expand... Nafikiri ni maswali mazuri sana kama utamuuliza Mzee mwasapile au wasaidizi wake!
mikela said: Hivi ni dawa gani ukinywa mara mbili unakufa? Ni nini kinacho sababisha ufe? Ufanyeje kama umekunywa na hukupona magonjwa yako? Click to expand... Nafikiri ni maswali mazuri sana kama utamuuliza Mzee mwasapile au wasaidizi wake!
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,852 Reaction score 873 Oct 25, 2011 #3 Kama bado unaamini izo habari, basi kazi kwelikweli. Watu wengine wameshakunywa tena lita kadhaa, sio kikombe tu.
Kama bado unaamini izo habari, basi kazi kwelikweli. Watu wengine wameshakunywa tena lita kadhaa, sio kikombe tu.
N Nonda JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 13,358 Reaction score 4,307 Oct 25, 2011 #4 Vita vya majimaji vilipiganwa kwatika ardhi ipi? Je vita aka matibabu ya kikombe cha babu yanafanywa katika ardhi ipi? Historia hujirudia kama mgao wa umeme Tanzania!
Vita vya majimaji vilipiganwa kwatika ardhi ipi? Je vita aka matibabu ya kikombe cha babu yanafanywa katika ardhi ipi? Historia hujirudia kama mgao wa umeme Tanzania!
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 25, 2011 #5 GAZETI said: Nafikiri ni maswali mazuri sana kama utamuuliza Mzee mwasapile au wasaidizi wake! Click to expand... great!!!
GAZETI said: Nafikiri ni maswali mazuri sana kama utamuuliza Mzee mwasapile au wasaidizi wake! Click to expand... great!!!