Kwanini kikombe cha babu ukinywa mara mbili unakufa?

Kwanini kikombe cha babu ukinywa mara mbili unakufa?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Hivi ni dawa gani ukinywa mara mbili unakufa?
Ni nini kinacho sababisha ufe?
Ufanyeje kama umekunywa na hukupona magonjwa yako?
 
Hivi ni dawa gani ukinywa mara mbili unakufa?
Ni nini kinacho sababisha ufe?
Ufanyeje kama umekunywa na hukupona magonjwa yako?
Nafikiri ni maswali mazuri sana kama utamuuliza Mzee mwasapile au
wasaidizi wake!
 
Kama bado unaamini izo habari, basi kazi kwelikweli.
Watu wengine wameshakunywa tena lita kadhaa, sio kikombe tu.
 
Vita vya majimaji vilipiganwa kwatika ardhi ipi? Je vita aka matibabu ya kikombe cha babu yanafanywa katika ardhi ipi?

Historia hujirudia kama mgao wa umeme Tanzania!
 
Back
Top Bottom