Kwa sababu kujifunza ni online piaUmewahi kujiuliza
Kwanini kila aliyefanikiwa online anakwambia soma hizi skills???
Copywriting
Closing skills
Media buying
Freelancing
Trading
Content creation
Marketing research
Audience building
Graphics design
Story telling
Offer creation
Market positioning
Hakuna anayekwambia
Chukua pesa wekeza sehemu flani au nipe pesa niwekeze
Hakuna anayekwambia nenda shule flani au chuo flani
Zaidi utaambiwa ingia youtube
Au tafuta kozi flani
Nime screenshot ntaanza kusomaUmewahi kujiuliza
Kwanini kila aliyefanikiwa online anakwambia soma hizi skills???
Copywriting
Closing skills
Media buying
Freelancing
Trading
Content creation
Marketing research
Audience building
Graphics design
Story telling
Offer creation
Market positioning
Hakuna anayekwambia
Chukua pesa wekeza sehemu flani au nipe pesa niwekeze
Hakuna anayekwambia nenda shule flani au chuo flani
Zaidi utaambiwa ingia youtube
Au tafuta kozi flani
Hongera mkuuMimi nafanya Hii freelancing inalipa Sana ukipata kampuni nzuri , kwa kampun ninazofanyia Kazi Nina uhakika wa kupata $100+ kwa mwezi ,
Mwanzo nilikuwa napata $300+ had 500 per month ila kuna uongoz wa nchi uliingia hapa katkat ukaharibu mfumo mzima wa makampuni ya nje kufanya Kazi na watanzania , mm saiz ningekuwa mbali Sana