Kwanini kila aliyefanikiwa online anakwambia soma hizi skills???

Kwanini kila aliyefanikiwa online anakwambia soma hizi skills???

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,319
Reaction score
3,097
Umewahi kujiuliza
Kwanini kila aliyefanikiwa online anakwambia soma hizi skills???

Copywriting
Closing skills
Media buying
Freelancing
Trading
Content creation

Marketing research
Audience building
Graphics design
Story telling
Offer creation
Market positioning

Hakuna anayekwambia
Chukua pesa wekeza sehemu flani au nipe pesa niwekeze

Hakuna anayekwambia nenda shule flani au chuo flani

Zaidi utaambiwa ingia youtube
Au tafuta kozi flani
 
Kwa sababu kujifunza ni online pia
 
Alisahau kukwambia umuhimu wa soft skills. Na pia kwamba online success comes when preparedness meets oppotuninity. Alisahau pia kukwambia kuwa the success isn't going to be instant: lazima iwe process fulani tangu kuanza na clients ambao wanadunduliza hadi kupata mafanikio ya kweli, na utamu wa kulipwa in foreign currency. Na pia alisahau kukwambia the power of multipreneurship: kwamba kama kuna wakati ni rahisi kutengeneza utajiri, ni kupitia digital opportunities zinazopatikana kwenye information superhighway.
 
Mimi nafanya Hii freelancing inalipa Sana ukipata kampuni nzuri , kwa kampun ninazofanyia Kazi Nina uhakika wa kupata $100+ kwa mwezi ,
Mwanzo nilikuwa napata $300+ had 500 per month ila kuna uongoz wa nchi uliingia hapa katkat ukaharibu mfumo mzima wa makampuni ya nje kufanya Kazi na watanzania , mm saiz ningekuwa mbali Sana
 
Umewahi kujiuliza
Kwanini kila aliyefanikiwa online anakwambia soma hizi skills???

Copywriting
Closing skills
Media buying
Freelancing
Trading
Content creation

Marketing research
Audience building
Graphics design
Story telling
Offer creation
Market positioning

Hakuna anayekwambia
Chukua pesa wekeza sehemu flani au nipe pesa niwekeze

Hakuna anayekwambia nenda shule flani au chuo flani

Zaidi utaambiwa ingia youtube
Au tafuta kozi flani
Nime screenshot ntaanza kusoma
 
Mimi nafanya Hii freelancing inalipa Sana ukipata kampuni nzuri , kwa kampun ninazofanyia Kazi Nina uhakika wa kupata $100+ kwa mwezi ,
Mwanzo nilikuwa napata $300+ had 500 per month ila kuna uongoz wa nchi uliingia hapa katkat ukaharibu mfumo mzima wa makampuni ya nje kufanya Kazi na watanzania , mm saiz ningekuwa mbali Sana
Hongera mkuu
 
Back
Top Bottom