Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?

Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
547
Reaction score
181
Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?
------------------
Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha .

Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa , japo wapo maelfu waliokufa kabisa kisiasa na wala hawana kabisa ushawishi wowote ule kisiasa

Majina yote tunayo , lakini kwa sababu za kimaadili kwa sasa tunayahifadhi .

Bali swali letu ni hili , ni kwa vipi mambo haya yanatokea , JE CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU kama tunavyoelezwa mara zote na Manabii
 
Wataje tu,kwakuwa matamko Yao yalikuwa hadharani hakuna tatizo.Wa kwanza kabisa alikuwa Wasira.Mkakakati wake ulifeli vibaya na yeye akapotea ulingoni
 
bwana jobo wa kapernaumu, hv yuko wapi siku hizi? kuna kijana wa kolomije, hana hadharani haonekani, masai ole saa mbaya naye yuko ndichi, kila akionekana mahakamani macho yamevimba sijui ni vilio au anakeshaga akisali... tupatapo mamlaka tutimize wajibu wetu bila kuwadhulumu wengine.
 
Back
Top Bottom