Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?
------------------
Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha .
Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa , japo wapo maelfu waliokufa kabisa kisiasa na wala hawana kabisa ushawishi wowote ule kisiasa
Majina yote tunayo , lakini kwa sababu za kimaadili kwa sasa tunayahifadhi .
Bali swali letu ni hili , ni kwa vipi mambo haya yanatokea , JE CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU kama tunavyoelezwa mara zote na Manabii