Kwanini kila dhuluma dhidi ya watanganyika inasimamiwa na watawala wageni?

Hoja nzito imejaa mashiko ila inabaki. What is to be done
 
We mbwa koko huo ubaguzi wako kaufanyie kwenu sisi watanzania ni wamoja Taifa letu ni moja hakuna wa kulitenganisha. Ngedere lisilo na aibu.


Na wewe mwendawazimu wa hivi unajihesabia ni mtanzania? Napenda kujadiliana hoja na wenye akili timamu. Wewe kichaa hutaruhusiwa kuchangia hoja yangu yoyote.
 
Kosa kubwa ni kutawaliwa na katiba mbovu tangu mwanzo wakati wa Nyerere. Tumejenga vizazi vya waoga hata Nyerere alisema kabla hajaondoka na kusema hakutarajia kutengeneza Taifa la watu waoga, na bado akaacha katiba mbovu ambayo kimsingi ipo hadi leo all power is vested on one human being the President of United Republic. Every leader can turn into dictetor easily. We have no independent judicial, Paliament but supreme executive ( presidency). The only solution is total over haule of Constitution otherwise we are going into religious war and contitutional crissis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…