kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Wakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home.
Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu.
Mfano jana tulikua na event ya organization yetu na all junior staffs walikua na upande wao but waandaji wa event wakaniambia mimi nikae VIP akati ni junior officer.
Nifanyaje wakuu?